Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
wanatuokoaga sana kimaisha binafsi broo zangu walinishika sana mkono kiuchumi hilo nakiriNawaonea wivu watu wenye kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatuokoaga sana kimaisha binafsi broo zangu walinishika sana mkono kiuchumi hilo nakiriNawaonea wivu watu wenye kaka
Expert ujue mambo mengine yanashangaza sana, kumwambia dada yako usiku mwema nako ni shida,anyway labda mambo ya mila,maana kuna mila nyingine zina mambo mengi sananadhani ni mazoea na moyo wa mtu, pengine ana mjali Sana moyoni ila kusema ndo changamoto.
Poleni sana aisee,. Sema ni kuombeana tu mambo yaende sawa maana bora kutofautiana na mtu baki.. Mafarakano ya ndugu ni mabaya sana aisee🙌Yes, ikitokea mkawa maadui it's over. Hata mkisuluhishwa vipi ni ngumu kukaa sawa. Aliyekuwa rafiki yangu sana sana, my best friend bro- now is far off, yaani maisha haya..😭
🤔🤔,. Hivi shida huwa ni nini au labda kuna connections zozote na mambo ya kiroho? Maana ni wengi wanalishuhudia hili💯% sahihi
Inasikitisha sana mkuu, familia moja mnakuwa na mabeef ya kijinga.Hatujawahi kuwa na bond nzuri tangu nikiwa mdogo, yeye ni mtu harsh harsh sana halafu ni conservative mno na anadiktate kupita kiasi kwa hiyo nilikaa naye mbali tangu nakua sikupenda kukaa naye karibu ikawa hivyo hadi ukubwani, baada ya kuoa ndio maji na mafuta
Mabaya sana, ndugu wakigombana ni msala.Poleni sana aisee,. Sema ni kuombeana tu mambo yaende sawa maana bora kutofautiana na mtu baki.. Mafarakano ya ndugu ni mabaya sana aisee🙌
Usichoke mkuu,. Huenda nae ana ego hataki kujishushaNilijipendekeza nikaona isiwe tabu mkuu, nina ego kubwa ila kwa bro nilijishusha sana. Uzuri tumezaliwa wengi.
ni nature tu, mimi na mdogo wangu wa pili tume gombana Sana.🤔🤔,. Hivi shida huwa ni nini au labda kuna connections zozote na mambo ya kiroho? Maana ni wengi wanalishuhudia hili
DuuhHatujawahi kuwa na bond nzuri tangu nikiwa mdogo, yeye ni mtu harsh harsh sana halafu ni conservative mno na anadiktate kupita kiasi kwa hiyo nilikaa naye mbali tangu nakua sikupenda kukaa naye karibu ikawa hivyo hadi ukubwani, baada ya kuoa ndio maji na mafuta
Mnaweza kuanzia kwenye chanzo hapo mkajaribu kusuluhisha kwa mara nyingineInasikitisha sana mkuu, familia moja mnakuwa na mabeef ya kijinga.
Braza alikuwa best sana yani, niwe na issue gani nisimwambie au yeye akiwa na mambo yake lazima aniambie. Ila sentensi moja tu ilivuruga mahusiano hadi leo.
Kaka yako alikua anakubutua?Raha sana kuwa na kaka jamani, natamani udogo wangu ningeipata hiyo experience ya kupendwa na kaka yangu ila sikubahatika.
Hongera mkuu!wanatuokoaga sana kimaisha binafsi broo zangu walinishika sana mkono kiuchumi hilo nakiri
Shida inakuja kuwa ikitokea mmoja kafa bila kupatana mwingine anaweza aishi na majuto maisha yake yote..ni nature tu, mimi na mdogo wangu wa pili tume gombana Sana.
mama akawa ana sema nyinyi hamgombani, yeye na dada ake ili kuwa vita ya 0 ya Dunia.
Imagine mtu ana enda kulala kitandani, wewe uki panda uka weka hata mchanga kime umana😃😂.
Sasa hivi wako cool, muda huponya.
😀😀Una uzungu mwingi sana bro. Mimi hata kumuambia dadaangu usiku mwema siwezi
Kwa style hiyo mmoja wenu akitangulia na kuacha watoto wadogo, hao watoto watapata msaada kweli?Hatujawahi kuwa na bond nzuri tangu nikiwa mdogo, yeye ni mtu harsh harsh sana halafu ni conservative mno na anadiktate kupita kiasi kwa hiyo nilikaa naye mbali tangu nakua sikupenda kukaa naye karibu ikawa hivyo hadi ukubwani, baada ya kuoa ndio maji na mafuta
Ndiyo hivyoDuuh
Uzuri ni yeye tu pekee ndio haziivi, kaka na wadogo zangu wengineo wote tunaelewana vizuri sana kwa hiyo hainisumbui. Hata hivyo watoto wetu wameshakuwa wakubwaKwa style hiyo mmoja wenu akitangulia na kuacha watoto wadogo, hao watoto watapata msaada kweli?
Jaribu kupatana nae, andaa hata kalamu ya chakula nyumbani kwenu.safi sana ila mimi na kaka angu haviivi hata kidogo 😜