Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Nadhani niambo ya kiroho zaidi, Sina hakika.

Kwa mfano ; mama yangu baada ya baba yao (babu yangu) kufariki , vikao vya ukoo vilimteua yeye kuwa msimamizi mkuu wa familia pamoja na kuwa wapo kaka zake wakubwa na aliyependekeza hilo ni mama yao (bibi yetu).

Sijushangaa kwasababu bibi na babu walimpenda sana mama tangu Mimi nakua nililiona hilo halikufichika. Walibahatika kupata watoto 11
Na wewe una mtoto wako unayempenda sana kuliko wote?
 
Sigara? Never! Sio yeye wala mimi.
Hahaha hata mimi sija wahi tumia kilevi au sigara, basi tumia chakula Cha pamoja Kama familia ili mkutane.

Unge kuwa una tumia, unge nunua Pakti 1, Kisha siku akija una muonesha cigarette. Kisha una muwashia.
Trust me bifu linge isha.
 
Na wewe una mtoto wako unayempenda sana kuliko wote?
Katika watoto wangu wanne Kuna mmoja namkubali sana kuliko wenzie. Ni makini, mtulivu, hakurupuki, hakunisumbua shuleni, mkweli, muwazi, anapenda usawa, mtiifu, mnyenyekevu, ukimuagiza jambo hachelewi analitekeleza, ana adabu sana, mpole lakini mkali sana ukimkosea kwa namna ya kumuonea na kadhalika na kadhalika
 
wanatuokoaga sana kimaisha binafsi broo zangu walinishika sana mkono kiuchumi hilo nakiri
kweli Sana, dogo ana ingia la 4 ali taka kupelekwa boarding.
yeye aka waambia siendi, waka mwambia uta enda tu.

Nilivyo fika kani lalamikia, nika uliza shida nini waka sema. Oa mke ili umchukue Kama mwanao.

Nika waambia namlipia ada ya day, kafurahi Sana.
 
hehe! sawa shemeji
Kuna haja ya kuongea Sana😎
FB_IMG_17362527162075074.jpg
 
Back
Top Bottom