Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Inasikitisha sana mkuu, familia moja mnakuwa na mabeef ya kijinga.

Braza alikuwa best sana yani, niwe na issue gani nisimwambie au yeye akiwa na mambo yake lazima aniambie. Ila sentensi moja tu ilivuruga mahusiano hadi leo.
Sometimes unaacha tu kama yalivyo
 
🤔🤔,. Hivi shida huwa ni nini au labda kuna connections zozote na mambo ya kiroho? Maana ni wengi wanalishuhudia hili
Huwa nafananisha hii hali ni ile ya mmezaliwa watoto kadhaa katika familia halafu ni lazima Kuna mmoja miongoni mwenu anakuwa wa tofauti sana na wengine. Anaweza kuwa mlevi kupindukia, au mwizi sana, au mkorofi mno! au msumbufu haswaa!

Sijui ni kwanini lakini inatokea hivo. Hamuwezi kuwa sawa woote haiwezekani
 
Na huwa inatokea mmoja anapatana sana na wazazi kuliko wengine, kwanini inatokea hivyo
 
Watoto wake wananipenda, wanapendana na wanangu sana tu, mke wangu na wa kwake ni mabest sana.
Angalau aisee, kwa upande wangu nime cut off ukoo wote wa mzee Baada ya yeye kufariki.

ule ukoo wao, ndugu zake ni WA ajabu. Bora wa familia Moja.
 
Na huwa inatokea mmoja anapatana sana na wazazi kuliko wengine, kwanini inatokea hivyo
Nadhani niambo ya kiroho zaidi, Sina hakika.

Kwa mfano ; mama yangu baada ya baba yao (babu yangu) kufariki , vikao vya ukoo vilimteua yeye kuwa msimamizi mkuu wa familia pamoja na kuwa wapo kaka zake wakubwa na aliyependekeza hilo ni mama yao (bibi yetu).

Sijushangaa kwasababu bibi na babu walimpenda sana mama tangu Mimi nakua nililiona hilo halikufichika. Walibahatika kupata watoto 11
 
Back
Top Bottom