Nakodisha shamba kwa wajasiriamali wadogo wanotaka kujaribu Vitunguu

Asante mkuu franky kunishtua.
Msimu wa kupanda unaanza mwezi wa pili, yani february. Ni vyema ukaangalie sehemu mwishoni mwa januari ili ujipange kimaandalizi.
Jamani karibuni sana nina eka za kutosha! Na mimi sio tapeli taratibu zote zinazingatiwa na kufwatwa, na fanya hivi sababu investment priority zangu zimebadilika kidogo msimu huu.
 
Nitahitaji ekari kidogo kama mbili nitaweza kupata? weka mawasiliano yako tukupate
 

Nitahitaji eka mbili, nitapata, naomba mawasiliano yako
 
Mkuu nyamgulu..weka namba ya simu mie nataka kuja kulima.kumbe hata vitunguu vina msimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…