Nakodisha shamba wilayani Kibiti, mkoa wa Pwani. Heka moja ni Tsh. 100,000 kwa msimu

UKIMALIZA MSIMU WA KWANZA NA UNATAKA KUENDELEA UNARUHUSIWA TU NI PESA YAKO MKUU ONDOA SHAKA
Changamoto hapa ni moja. Ukiandaa shamba kwa mara ya kwanza,lazima uingie hasara. Namaanisha gharama za maandalizi,ni kubwa. Kwa hiyo,kama hali imeruhusu,msimu wa kwanza huwezi kurudisha gharama zako. Labda tu kama shamba lilikuwa linalimwa,na kazi ikawa kuliendeleza tu.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
nimepunguza ni sh 50,000 kwa heka kwa msimu mpaka utakaopovuna kama utataka kuendelea tena utaniambbia utarudia tena
 
Ukute shamba jina tu..msitu huo..unakodisha unalima unakuwa kama kibarua baada ya msimu mmoja anakuambia naomba shamba langu.
Anakuta umekata na kusafisha eneo lote.
 
Weka namba
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Refferal code expired!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…