Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto hapa ni moja. Ukiandaa shamba kwa mara ya kwanza,lazima uingie hasara. Namaanisha gharama za maandalizi,ni kubwa. Kwa hiyo,kama hali imeruhusu,msimu wa kwanza huwezi kurudisha gharama zako. Labda tu kama shamba lilikuwa linalimwa,na kazi ikawa kuliendeleza tu.UKIMALIZA MSIMU WA KWANZA NA UNATAKA KUENDELEA UNARUHUSIWA TU NI PESA YAKO MKUU ONDOA SHAKA
Hapo sawa. Na mi ningekuwa karibu,lazima ningekutafuta.shamba lilikuwa linalimwa mkuu sasa yule aliyekodi kashamaliza kulima alichohitaji ndo maana nakodisha mkuu
nimepunguza ni sh 50,000 kwa heka kwa msimu mpaka utakaopovuna kama utataka kuendelea tena utaniambbia utarudia tenaMara mia ungetaja kwa mwaka. Nani aingie gharama za kuandaa shamba,af msimu ukiisha aondolewe! Hiyo hasara ni kubwa.
Ungesema laki kwa mwaka wa kwanza. Badae,laki kila msimu. Labda kama ni shamba lililokuwa linalimwa,hapo ntakuelewa. Vinginevyo,hapana.
Kwanza Kibiti pana historia mbaya. Wageni hatujinimepunguza ni sh 50,000 kwa heka kwa msimu mpaka utakaopovuna kama utataka kuendelea tena utaniambbia utarudia tena
Liko umbali gani from main road pale kibiti stand?nimepunguza ni sh 50,000 kwa heka kwa msimu mpaka utakaopovuna kama utataka kuendelea tena utaniambbia utarudia tena
sio umbali sana ila ni ndani zaidi unapanda bodaboda kwa bukuLiko umbali gani from main road pale kibiti stand?
mm sio dalali mkuu yaani ni shamba la famiilia hili mkuumimi tena niku PM?
Dalali unajisahau sana
Siku ukipanda boda chukua yenye odometer reading yake inasoma vizuri upime umbali. Itasaidia hapa kwenye hili tangazo lako.sio umbali sana ila ni ndani zaidi unapanda bodaboda kwa buku
Habari wadau wa JF,
Nakodisha shamba maeneo ya Kibiti mkoa wa Pwani huko kwa anayehaji kukodi kwa kilimo aniPM nitampeleka hapo shambani hapaone
Maeneo yale unaweza kulima Ufuta, au chochote kutegemeana na eneo husika nk. Karibu sana Kibiti
Nakodisha shamba kwa heka sh 50,000 kwa msimu wa kilimo chako utalima mpaka na kuvuna ukitaka kuendelea tena kulima utakodishwa tena karibuni sana wakati ndoo hu, tumia fursa kwenye kilimo kwani kilimo kinalipa.
Karibuni
mamods futeni pale juu wekeni nakodisha shamba kwa sh 50,000/ siliuzi pls
Weka nambaHabari wadau wa JF,

asante sana kunisaidia mkuu nitafanya hivyoSiku ukipanda boda chukua yenye odometer reading yake inasoma vizuri upime umbali. Itasaidia hapa kwenye hili tangazo lako.
Refferal code expired!Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.
1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 2ZJVO8ZK
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!