Nakodisha shamba wilayani Kibiti, mkoa wa Pwani. Heka moja ni Tsh. 100,000 kwa msimu

Nakodisha shamba wilayani Kibiti, mkoa wa Pwani. Heka moja ni Tsh. 100,000 kwa msimu

UKIMALIZA MSIMU WA KWANZA NA UNATAKA KUENDELEA UNARUHUSIWA TU NI PESA YAKO MKUU ONDOA SHAKA
Changamoto hapa ni moja. Ukiandaa shamba kwa mara ya kwanza,lazima uingie hasara. Namaanisha gharama za maandalizi,ni kubwa. Kwa hiyo,kama hali imeruhusu,msimu wa kwanza huwezi kurudisha gharama zako. Labda tu kama shamba lilikuwa linalimwa,na kazi ikawa kuliendeleza tu.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Mara mia ungetaja kwa mwaka. Nani aingie gharama za kuandaa shamba,af msimu ukiisha aondolewe! Hiyo hasara ni kubwa.
Ungesema laki kwa mwaka wa kwanza. Badae,laki kila msimu. Labda kama ni shamba lililokuwa linalimwa,hapo ntakuelewa. Vinginevyo,hapana.
nimepunguza ni sh 50,000 kwa heka kwa msimu mpaka utakaopovuna kama utataka kuendelea tena utaniambbia utarudia tena
 
Ukute shamba jina tu..msitu huo..unakodisha unalima unakuwa kama kibarua baada ya msimu mmoja anakuambia naomba shamba langu.
Anakuta umekata na kusafisha eneo lote.
Habari wadau wa JF,

Nakodisha shamba maeneo ya Kibiti mkoa wa Pwani huko kwa anayehaji kukodi kwa kilimo aniPM nitampeleka hapo shambani hapaone

Maeneo yale unaweza kulima Ufuta, au chochote kutegemeana na eneo husika nk. Karibu sana Kibiti

Nakodisha shamba kwa heka sh 50,000 kwa msimu wa kilimo chako utalima mpaka na kuvuna ukitaka kuendelea tena kulima utakodishwa tena karibuni sana wakati ndoo hu, tumia fursa kwenye kilimo kwani kilimo kinalipa.

Karibuni

mamods futeni pale juu wekeni nakodisha shamba kwa sh 50,000/ siliuzi pls
 
Weka namba
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Refferal code expired!
 
Back
Top Bottom