Nakohoa damu, nimeenda hospitali wanasema kuwa sina shida yoyote

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
 
Pole mdogo angu,
Umefanya vipimo vyote? unaendeleajee now
 
Badili hospitali, kama umeenda gov umekutana na wahuni. Nenda private
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…