Nakohoa damu, nimeenda hospitali wanasema kuwa sina shida yoyote

Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Umeenda dispensary,health centre ama distric hospital.......yaani uende Pulmonology unit pale MNH,agha-Khan ama Saifee wasijue unaumwa nini?,acha utani basi
 
Vyema.Ni vizur kama umeamini Yesu anaponya...hayo ya chumvi na mafuta kama huamini hayana ulazima.....binafsi siwezi kuwa wakili wa chumvi na mafuta
Mbona unakwepa swali langu? acha kunilisha maneno,hakuna anayeponya hapo hata wewe unalijua hilo ndio maana ukamwambia kua aende Hospitali.
 
Private ndio kuna wahuni
Brother kama unatetea tetea by fact, gov labda magonjwa madogo madogo, serious issue huwa wanazichukulia poa. Private Sio za vichochoroni nenda major institution
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
nenda hospitali ya juu ya hiyo uliokwenda, huyo dokta aliyekwambai hivyo ni mjinga. Mshitaki.

Huna tatizo anamaanisha kukohoa damu ni kawaida?
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Huna shida yeyote wakati unakohoa damu ???.

Umepima vipimo gani kwanza??
 
Tatizo jukwaa limevamiwa na vitoto vya secondary yaani mtu anapost suala la ugonjwa mtu unaandika upuuzi kama huo dah!
Acha nongwa, tatizo lake kwa kitaalamu linaitwa pulmonary geongatividis, na dawa yake ni kulamba marinda.

Endeleza ubishi umuue mwenzako.
 
Wahi hospitali kapime makohozi na faeces kudetect TB ama pneumonia fanya na chest X ray

kama upo Dar nenda pale Burhani Hosp

quick recovery
 
Mbona unakwepa swali langu? acha kunilisha maneno,hakuna anayeponya hapo hata wewe unalijua hilo ndio maana ukamwambia kua aende Hospitali.
Yesu atamponya,,,hao hospitality bila Yesu ni kazi bure
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Sometimes inatokea kunywa maji ya kutosha epuka vitu kama vumbi pollens na any substance that may alter allergic reaction
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Tafuta hospitali kubwa hasa kitengo cha TB! Kuna binti wa mdogo wangu alikuwa anakohoa damu hivyo hivyo. Hospitali ndogo ndogo wakawa hawaoni kitu, mama mtu akabeba ampeleke kwa waganga wa kienyeji, nikawapiga marufuku wakamleta mjini kufika kitengo cha TB akakutwa nayo na kuanza matibabu hapo hapo. Mpaka leo ananishukuru kwamba kwa kienyeji alikuwa anaenda ku-dedi!
 
Pole Mkuu,
Mungu akusaidie,wewe kwangu ni kati ya member wachache sana ninao wakubali sana hapa JF

Get well soon.
Nashukuru Mungu nipo poa now nilikuwa nimelazwa now nipo vzr sana shukrani kwa maombi yenu wote
 
Back
Top Bottom