Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta maombi kijana apone wewe mlokole.Na leo nimeamka vibaya sitaki shobo
Nenda hosipitali ya serikali, achana na hizo za mitaani.Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Amina!Leta maombi kijana apone wewe mlokole.
Sasa aiweke hv ndo itakua sawaAisee.
Ila lazima aende Hospital ndio Yesu amponye kama ulivyo mshauri,si ndio?Amina!
Wafilipi 2:10 neno la Mungu Yehova linasema "kwa bwana Yesu kila goti litapigwa,"
nafurahi kwa kukiri kwako naona unaanza kukunja goti taratibu kitukuu ya babu mdogo Ishmail...Hakika Yesu atamponya na tutaendelea kuwa nae hapa jukwaani
Pole. Usi-panic sana. 1. Una uhakika kuwa unakohoa damu? Nasema hivi kwa sababu unaweza kuwa tatizo lako liko kinywani eg kwenye meno au kuna mchubuko wewe ukadhani damu inatoka ndani. 2. Koo halina tatizo? Inawezekana kuwa kooni kuna mchubuko mdogo sana ndiyo unasababisha. Mwisho niulize, walifanya uchunguzi gani na kusema huna tatizo.? Jambo la muhimu ni kusubiri na ukiona tatizo haliishi, urudi tena hospital.Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Kuna virus wabaya sana huwa wanashambuli koo na kuweka kidonda. Unajisikia kuwa na dalili za flu?Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Kapime TB kwenye hospitali inayoeleweka achana na vizahanati uchwara.Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Vyema.Ni vizur kama umeamini Yesu anaponya...hayo ya chumvi na mafuta kama huamini hayana ulazima.....binafsi siwezi kuwa wakili wa chumvi na mafutaIla lazima aende Hospital ndio Yesu amponye kama ulivyo mshauri,si ndio?
Vipi kuhusu wale ambao hua wanapona kwa maombi au kwa mafuta na chumvi? au hiyo njia haifai? au hua ni geresha tu ya hao wachungaji?
😀😀😀😀😀
Umepima madonda ya tumbo?Habari,