Nakohoa damu, nimeenda hospitali wanasema kuwa sina shida yoyote

KIUFUPI MTOA MADA ULICHO ANDIKA HAPA HAKIWEZEKANI, YANI UKOHOE DAMU HALAFU WASEME NAUNA SHIDO?? NENDA HOSPITALI NYINGINE,kwann??
Kikoozi cha damu hata kama ni kifua kina kuwa kimefikia hatua mbayaa!,
Kama koo limeliwa na wadudu na kuharibu baadhi ya mishipa ya damu hii ni shida, wadudu kama nesseria gonnoroea au streptococcus pyogenes, au iyo dama unayo kohoa wanatakiwa waipime, au wa kuswab hilo koo
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
jaribu kwenda hospitali kubwa ili upate vipimo vya maana, au full body scanning
Kukohoa damu siyo kawaida kwa binaadamu
Unapowahi hospitali na kugundua ugonjwa ndio unakuwa na chances kubwa za kupona
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Wahi hospitali , nenda Muhimbili , kama una bima iko vizuri au una cash ya kutosha nenda Aghkhan.
 
Badili hospitali, kama umeenda gov umekutana na wahuni. Nenda private
Huko ndiyo unampoteza zaidi..

I'm sure waliomuambia hana tatizo ni private..

Private huwa wanapenda kudili na mambo madogodogo na simple yasiyotaka kuumiza akili..

Sasa huyu jamaa anatakiwa apime TB, afanye OGD kujua kama ana shida huko tumboni nk.

Sasa private mara nyingi huwa hawataki hizi complications.
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Itakuwa kuna kitu uli kiingiza mdomoni
 
Oi Mwachiluwi hujaelezea vizuri kama ulienda Hospital je vipimo kama vile X-ray ya kifua, CT scan, au vipimo vya makohozi ili kusaidia kugundua chanzo cha tatizo lako umefanya ?
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Pole sana. Jitahidi iishe yote tule ubwabwa kwa sababu wewe ni muongo muda wote.Anayeumwa asingechati JF.
 
Siku hizi mambo ni rahisi sana kwa kuanzia au kujua kitu
Google inasaidia sana
Ukiangalia inawezekana kukohoa isiwe shida bali ni damu tu inatoka kwenye mapafu, au Airways au viungo vingine na hata inawezekana ikawa TB pia labda lung cancer au pneumonia
Sasa naona umeenda kwa mganga wa kienyeji ambae yupo Hospitali
Ukiona Dr anakuambia huna kitu kabla hajakupimia kwa vipimo vikubwa basi huyo sio Dr au hakuna vifaa kabisa kwa hiyo wanaamua kukutoa tu
Kwanini asikupe ushauri ukapime vipimo?
Nenda ukachunguzwe maana damu haitoki tu kama makamasi
 
Pole Sana mkuu

Jaribu utembelee hospitali tofauti tofauti then ukimwama kabisa ulete mrejesho .
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Pole ilo tatizo linamsumbua sana mdogo angu na kamezeshwa sana dawa za TB,
mwaka jana alipima vipimo karibu vyote tena vya gharama kubwa hospital walishindwa kuona ugonjwa,akaamua kujiongeza kwenda kwa jamaa wanauza tiba mbadala pale kinondoni wale madaktari walimwambia ilo tatizo lako sugu la kukoa na kutema damu linasababishwa na moyo wako kwa kutokua na nguvu so kuna dawa anatumia toka kwao ila mimi sipajui ila nakumbuka mara ya mwisho hospital yao ilikua karibu na hospital ya rufaa ya mwananyamala ila sasa hivi nasikia wamehama.
Jaribu kwenda kwao kapime.
 
Habari,

Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.

Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Dalili mojawapo ya UKIMWI
 
Hospitali gani ulikwwnda mkuu?
Wanakoseaga hao mkuu. Unakumbuka Muhimbili Kuna mtu alivunjika mguu wakamfanyia operation ya kichwa mchana kweupe. Tene jopo la madaktari.
 
Back
Top Bottom