Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
jaribu kwenda hospitali kubwa ili upate vipimo vya maana, au full body scanningHabari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Wahi hospitali , nenda Muhimbili , kama una bima iko vizuri au una cash ya kutosha nenda Aghkhan.Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Huko ndiyo unampoteza zaidi..Badili hospitali, kama umeenda gov umekutana na wahuni. Nenda private
Itakuwa kuna kitu uli kiingiza mdomoniHabari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Pole sana. Jitahidi iishe yote tule ubwabwa kwa sababu wewe ni muongo muda wote.Anayeumwa asingechati JF.Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Au yawezekana alivuta moshi au kemikali ambazo zinachokoza njia ya hewaItakuwa kuna kitu uli kiingiza mdomoni
Tatizo jukwaa limevamiwa na vitoto vya secondary yaani mtu anapost suala la ugonjwa mtu unaandika upuuzi kama huo dah!Aisee JF imekua Facebook
Tatizo jukwaa limevamiwa na vitoto vya secondary yaani mtu anapost suala la ugonjwa mtu unaandika upuuzi kama huo dah!

Pole ilo tatizo linamsumbua sana mdogo angu na kamezeshwa sana dawa za TB,Habari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
Dalili mojawapo ya UKIMWIHabari,
Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi.
Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama nilibeba kitu kizito, ila sijabeba na kwasasa kazi zangu ni nyepesi za kawaida.
SubhanAllah!Kwa hiyo tuwaambie Wasafi FM wapige nyimbo za huzuni?🤔Dalili mojawapo ya UKIMWI
UKIMWI na nyimbo za huzuni mbona hamna mahusiano. ARV zinatolewa bure hospitali za serikaliSubhanAllah!Kwa hiyo tuwaambie Wasafi FM wapige nyimbo za huzuni?🤔
Unazijua fungus za kwenye ubongo wewe?Hatari.Unakua unaongea kama umemeza redio.UKIMWI na nyimbo za huzuni mbona hamna mahusiano. ARV zinatolewa bure hospitali za serikali
Hospitali gani ulikwwnda mkuu?Habari,