Nakshi nyumba yako na Tanga stone

So Mtu akitaka Materials kwako, kukata Kwako, kujenga au kufitisha Kwako, Mnafanya kwa Gharama Gani??
 
So Mtu akitaka Materials kwako, kukata Kwako, kujenga au kufitisha Kwako, Mnafanya kwa Gharama Gani??
Haipungui tsh. 60,000, ila nashauri ununue mawe mwenyewe utasave kidogo.
 
Naomba kujulishwa bei ya kujenga 1square meter ( bei ya hayo mawe + bei ya ufundi)
 
Naomba kujulishwa bei ya kujenga 1square meter ( bei ya hayo mawe + bei ya ufundi)
Kazi ya mawe hususani tanga stone iko hivi:

1. Kuna garama ya kuyanunua na kuyafikisha site.
2. Kuna garama ya kuyakata kwa size unayoitaka.
3. Kuna garama ya kujenga.

Kama ni kazi kubwa ukinunua Tanga ni nafuu, kukata sqm moja ni tsh. 6,0000
Kujenga sqm 1 wastan ni tsh. 12,000-15,000

Kazi kubwa kwenye Tanhga stone ni kukata, kwani watu wengi wanapendezwa na mwonekano wa kukata.
 
Kukata ni 60k au 6k mana naona umeandika 6,0000?
 
Yasiyokatwa Tanga yanauzwaje?
 
Fuso inayo weza kubeba pic 260 mpaka 300 ni tsh. 1,500,000.
 
Ambayo ukikata unapata wastani wa sqm 60 mpaka 70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…