Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haipungui tsh. 60,000, ila nashauri ununue mawe mwenyewe utasave kidogo.So Mtu akitaka Materials kwako, kukata Kwako, kujenga au kufitisha Kwako, Mnafanya kwa Gharama Gani??
Naomba kujulishwa bei ya kujenga 1square meter ( bei ya hayo mawe + bei ya ufundi)Hapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.
Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
View attachment 517350View attachment 517351View attachment 517352View attachment 517355
Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
Kazi ya mawe hususani tanga stone iko hivi:Naomba kujulishwa bei ya kujenga 1square meter ( bei ya hayo mawe + bei ya ufundi)
Kukata ni 60k au 6k mana naona umeandika 6,0000?Kazi ya mawe hususani tanga stone iko hivi:
1. Kuna garama ya kuyanunua na kuyafikisha site.
2. Kuna garama ya kuyakata kwa size unayoitaka.
3. Kuna garama ya kujenga.
Kama ni kazi kubwa ukinunua Tanga ni nafuu, kukata sqm moja ni tsh. 6,0000
Kujenga sqm 1 wastan ni tsh. 12,000-15,000
Kazi kubwa kwenye Tanhga stone ni kukata, kwani watu wengi wanapendezwa na mwonekano wa kukata.
Sorry ni tsh. 6,000/=Kukata ni 60k au 6k mana naona umeandika 6,0000?
Anhaa , hayo mawe huwa wanauza kwa kipimo gani na bei yake ina-range kwenye ngapi kwa hapa DSM?Sorry ni tsh. 6,000/=
Anhaa , hayo mawe huwa wanauza kwa kipimo gani na bei yake ina-range kwenye ngapi kwa hapa DSM?
Kazi ya mawe hususani tanga stone iko hivi:
1. Kuna garama ya kuyanunua na kuyafikisha site.
2. Kuna garama ya kuyakata kwa size unayoitaka.
3. Kuna garama ya kujenga.
Kama ni kazi kubwa ukinunua Tanga ni nafuu, kukata sqm moja ni tsh. 6,0000
Kujenga sqm 1 wastan ni tsh. 12,000-15,000
Kazi kubwa kwenye Tanhga stone ni kukata, kwani watu wengi wanapendezwa na mwonekano wa kukata.
Yapambe makazi yako na Tanga stone.