Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #181
Nipo safe na skia basi acheni kunikatisha tamaa et..""linakuacha gafla vuu""Sio hilo Shangazi lako wewe uko safe π π π
Wewe all in all mi nakula raha zangu na mpaka sasa najua project zake kibao mkuu...mishangazi toka mnaanza ndo kama umemmuanza yeye, katikatia ndo kama mmeanza , mwisho ndo kunanoga.
im 42.
kula raha, sisi wengine wachawi tuuuu, sijui tumerithi mikoba bila kujua!Wewe all in all mi nakula raha zangu na mpaka sasa najua project zake kibao mkuu...
Japo ndgu zake sijawajua sana ila wapo baadhi muhimu.
Kuhusu kuniacha gafla bin vuu hilo sahahuni πππππ
safe kabisaSio hilo Shangazi lako wewe uko safe π π π
Mkuu wanasema unachowaza ndo hiko hiko kitakutokea mkuu nina miaka zaidi ya mitano nawazaga mashangazi tuu nikipata basi yananipotea an nikipata yana poteakula raha, sisi wengine wachawi tuuuu, sijui tumerithi mikoba bila kujua!
mxxxxxxxiiiiie zetu
Komaaa!Mkuu wanasema unachowaza ndo hiko hiko kitakutokea mkuu nina miaka zaidi ya mitano nawazaga mashangazi tuu nikipata basi yananipotea an nikipata yana potea
Sasa huu aiseee hapana Nang'ang'ana
πππππππππKomaaa!
Huyu mpumbavu sana πππππNaam...naona na mbeya nchi anazidi kuupaishaπ€£π€£
mi nna yangu yananilaza ubaoni kila siku, nikiongeza na stpry za kwenu?Mkuu mapenzi raha ujue....
Mi ntakupa hint kama ukitaka
Nisiulizwesafe kabisa
Tuna enjoy sana babu.Mkuu, ndiyo wakati wenu wa kuinjoi huu π€
Sisi Wazee wakati wetu wa kuinjoi na Bibi zenu ulikuwa Mwaka 47 π
Mkuu huyo jamaa kiufupi hakua seriously na jambo lake ...Kuna jamaa nae "alibahatika" kupata mdada around 48, huyo dada alikuwa na mapene balaa ila alikuwa mkiwa sana yule dada...
Jamaa alienjoy sana, kidogo angemsahau mkewe kwa raha alizokuwa anapewa. First time kuwekana 5* hotel, mdada akampa hadi kadi, anamuwekea humo pesa ili wakiingia sehemu jamaa ndio analipa(kuonyesha uanaume).
Siku alipoachwa ilikiwa kama jamaa yupo kwa ndoto, hakuamini.
Mtu na heshima zako wewe ππππTuna enjoy sana babu.
View attachment 3074137
Ndio mkuu naheshima sanaπMtu na heshima zako wewe ππππ
Mkuu haya mambo mda mwingine bahati tuu pia kuwa karibu na high power oooohmi nna yangu yananilaza ubaoni kila siku, nikiongeza na stpry za kwenu?
si ntakoma!
Unainjoi lakini πππNdio mkuu naheshima sanaπ