Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Naona vile mshangazi ulivyokupa gari ya kutembelea, unahisi Dunia umeimaliza. Amka kijana!!! πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Niamke niende wapi...?
Niamke how..?
Mkuu ebu kuwa seriously wewe alaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Weee Mshangazi ume win
 
Kazi yako wewe kula ulezi asubuhi pushup nyingi.. unapiga karanga na juisi ya tender jioni unapiga mazoez ya kukizungusha kiuno! Mshahara unaingia tu
Na hakuna kitu hapendi kama akiona nakula kinyonge aiseee an hapo ni ugomvi..
Last week walikuja watoto wa mdogo ake wakakuta vitu kwenye friji kama vyote si wakalisanua aiseee..

Alinikalisha chini kama mwanae sasa na kunipa darasa la nutrition πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ثقفغعظم وΨͺΨΉ ΨͺΨͺΨͺ ΨΉ. Ψ§ΨͺفقΨͺ Ω‡ΨΊΨ«Ψ«Ω‰ΨŸΨŸΨŸπŸ˜
 
Back
Top Bottom