Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Shikilia hapohapo master na ukieenda Kwa Allah utamwambia kwann unisahau kwenu kisa stareheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shikilia hapohapo master na ukieenda Kwa Allah utamwambia kwann unisahau kwenu kisa stareheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe tusitishane....

Hata wewe hii ngoma usingekwepa alaaah acha zako wewe
 
Kazi umalaya tuu, kuosha BORO anhaaaa
Amekuja huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Weee weee nyie si kila siku nilikua nikiwambia nimefika nyie mnajifanya kujificha hata sasa kipo wapi.....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom