Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nyama, maziwa yanashida gani mkuu? Ila Ukiwa na mambo ya hovyo kichwani unaweza kutafsiri kivingine😁😁😁
Aaaaaah wapi unaongea kwa mafumbo hapo sheeenziiii kabisa 😁😁😁
 
Hahaha...................Zamani Wanawake wote tulikuwa tukiwaita Kwa Majina mazuri mazuri tu mathalani Malikia, mrembo, Malaika, njiwa n.k yaani Majina ambayo yeye mwenyewe Mwanamke akisikia hata kama alikuwa ana ratiba ya kukunyima basi automatic atajikuta analegeza masharti πŸ€—

Sasa nyie Kwa Majina haya ya Mshangazi, akisikia si ataghairi kukukubalia 😜

Kingine Wanawake wa enzi zetu walikuwa PisiKali kweli, pamoja na kwamba walikuwa hawatumii lotion/perfumes za gharama walikuwa wananukia ile harufu yao ya asili.

Sio nyie hawa wa kwenu, ambao Kila Siku mnawaandikia nyuzi za malalamiko kuhusu harufu za KisamakiSamaki πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜…
🀣🀣 Dah Bora nisingeomba ushauri wa majina upya enzi hizo, ila wapowenye harufu za asili mkuu usitukande hivyo mkuu 🀣🀣
Ila Hawa Gen Zedi Hawa Mungu atusaidie Kwa kweli 🀣
Mwenye majina sisi tunawaitakwa lugha ya Meli tu, Hayao Hayao ya kwenu sisi zinawewa slang za kina Poor 🧠
 
😁😁Babu maziwa siku hizi tumemwachia paka , tunazingatia nyama na mboga za majani kwa wingi .
Mbona enzi zetu, Bibi zenu walikuwa hayaanguki Chini kama hivyo?

Bibi yenu pamoja na kufikisha juzi miaka 67 bado yanaonekana kama ya saa 6, hii inafanya Babu yenu sikauki nyumbani πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mali na kila kitu so mapenz mapenz na kipato vyt Vina nafc tofauti anaweza akalipa vicoba akakupa password kumbe mwenye mirathi kamficha nyumbani
Tunaishi mara moja ndgu angu 😁😁😁😁
 
🀣🀣 Dah Bora nisingeomba ushauri wa majina upya enzi hizo, ila wapowenye harufu za asili mkuu usitukande hivyo mkuu 🀣🀣
Ila Hawa Gen Zedi Hawa Mungu atusaidie Kwa kweli 🀣
Mwenye majina sisi tunawaitakwa lugha ya Meli tu, Hayao Hayao ya kwenu sisi zinawewa slang za kina Poor 🧠
😁😁😁😁😁 Wewe wewe nakuona nakuonaaaa..

Alafu na kuzoom tu
 
Mbona enzi zetu, Bibi zenu walikuwa hayaanguki Chini kama hivyo?

Bibi yenu pamoja na kufikisha juzi miaka 67 bado yanaonekana kama ya saa 6, hii inafanya Babu yenu sikauki nyumbani πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Nafikiri vyakula babu , vyakula vya zamani vilikua ni bora sna na vya asili bila madawa mengi ,kwa fikra zangu duni nahisi hii inaweza changia kiasi fulani.
 
🀣🀣 Dah Bora nisingeomba ushauri wa majina upya enzi hizo, ila wapowenye harufu za asili mkuu usitukande hivyo mkuu 🀣🀣
Ila Hawa Gen Zedi Hawa Mungu atusaidie Kwa kweli 🀣
Mwenye majina sisi tunawaitakwa lugha ya Meli tu, Hayao Hayao ya kwenu sisi zinawewa slang za kina Poor 🧠
Hahahaha............poleni Mkuu

Wahimizeni Wapenzi wenu GenZ waache kutumia sabuni za kemikali kusafisha Ikulu zao

Lakini waache kutumia tishu badala ya Maji
 
😁😁😁😁😁 Grahams una mambo ya ajabu sana
 
Nafikiri vyakula babu , vyakula vya zamani vilikua ni bora sna na vya asili bila madawa mengi ,kwa fikra zangu duni nahisi hii inaweza changia kiasi fulani.
Huenda hilo linachangia, bado nafanya utafiti kujua kama zoezi la kunywa Maziwa linachangia ama vipi

Nakumbuka Mwaka 47 tulikuwa hatunywi sana kama ninyi mfanyavyo

Ama huenda Wapenzi wenu wanawanyonyesha timu ya mpira ya Wachezaji 22 Kwa mara moja sio kama sisi enzi zetu unakuta ananyonyeshwa mtu mmoja Mwaka mzima πŸ€—
 
Back
Top Bottom