Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Hii ya sabuni huwa naipinga sana babu , hatakusafisha safisha kila mara huwa siungi mkono kabisa 😁
Hahaha..........huenda nayo ni sababu

Ama ninyi Vijana wa hovyo mnatumia njia mbili at per, yaani unaendesha kilomita 1 lami kisha unaenda barabara ya Vumbi kisha mnarudi barabara ya Lami tena πŸ™Œ
 
kwahiyo gentleman,
daily unachomoka na pocket money bei gan kwa mfano?

hujawahi kuchezea makofi au kuosheshwa vyombo kweli? au kwasababu ya kurogwa vizuri hauoni tabu tena na unaoshea kibarazani kabisa?
Mkuu hapana hapana ila nina password za kila kitu chake..

Kuhusu vyombo hapana kwa kweli alafu ni mshangazi flan ukimuona unaweza sema ni mtu na heshima zake kumbe ndani ni mtu mwingine kabisa an...

Kuhusu pocket pesa ipo mkuu kila kitu kipo ndani hapa

Kila day yanaletwa ma ice cream yale sijui ni machokoleti hata sijui ila ni matamu hatari....
 
Siku hiz umekuwa mwanaume?
We binti acha uhuni au mnasagana???
 
Hahahaha πŸ˜‚ sounds ya kike kabsaa muhuni wewe ice cream na chocolate ndiyo zipo kichwan kwa mademu
 
kijijini kwetu hiyo inaitwa kuangikiwa na nyumba, dah,

utaskia mzee anakuuliza naskia yule rafiki yako wa kiume mliosoma pamoja kaangukiwa na nyumba kwa fulani?

hiyo maana yake kijana kanasa kwa lishangazi, kama hivyo yaan dah
 
Ndugu mbunge wewe haujawahi kunasa?
 
Hahaha..........huenda nayo ni sababu

Ama ninyi Vijana wa hovyo mnatumia njia mbili at per, yaani unaendesha kilomita 1 lami kisha unaenda barabara ya Vumbi kisha mnarudi barabara ya Lami tena πŸ™Œ
Babu ukitaka kujua mimi sio kijana wa ovyo hauwezi amini sijakuelewa kabisa.
 
kijijini kwetu hiyo inaitwa kuangikiwa na nyumba, dah,

utaskia mzee anakuuliza naskia yule rafiki yako wa kiume mliosoma pamoja kaangukiwa na nyumba kwa fulani?

hiyo maana yake kijana kanasa kwa lishangazi, kama hivyo yaan dah
Nimecheka kwa sauti mkuu...
😁😁😁😁😁😁
Nakumbuka juzi hapo kwa harusi nilienda nae kuna faza wa makamu akaniambia ""vijana wa siku hizi hapo mnahisi mshamaliza ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…