Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Ndugu mbunge wewe haujawahi kunasa?
nilikoswa koswa nikanusirika gentleman,
tena lishangazi lenyewe lilikua bubu, aise lilikua na mikelele kama yote, ilikua ni fedheha japo ndio mapenzi tena yalivyo,

lakini hatimae baada ya kuhama shule ya kata niloyokua nasoma nikanusurika kuangukiwa na nyumba
 
Ah😁😁😁😁😁 mtu na heshima zako
 
Kumbe ndugu mheshimiwa na wewe ni kijana wa ovyo😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…