Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha............ natamani nijue ni jinsia ipi inapenda kuendesha rough road ๐๐Babu watu siku hizi wamepinda wanapenda rough road
Kuwa na imani na Wazee ๐คAaaaah wapi wewe
BothHahaha............ natamani nijue ni jinsia ipi inapenda kuendesha rough road ๐๐
Kweli Vijana mnafaidi ๐Both
Sio wazee wote aiseeeKuwa na imani na Wazee ๐ค
Kufaidi au laanaKweli Vijana mnafaidi ๐
Laana ipi hapo na wewe ๐๐๐๐Kufaidi au laana
Acha zako wewe...๐๐๐๐๐๐Mambo ya mashangazi ๐๐๐mi sipo
Npo bize najitafuta sitaki kupoteza energy kwenye mijimama๐Acha zako wewe...๐๐๐๐๐๐
Unajitafuta for what mkuu..Npo bize najitafuta sitaki kupoteza energy kwenye mijimama๐
Jamii gani tena wakuu ๐๐๐๐๐Vijana kama hawa wanamchango mdogo sana kwenye jamii
nilikoswa koswa nikanusirika gentleman,Ndugu mbunge wewe haujawahi kunasa?

Ah๐๐๐๐๐ mtu na heshima zakonilikoswa koswa nikanusirika gentleman,
tena lishangazi lenyewe lilikua bubu, aise lilikua na mikelele kama yote, ilikua ni fedheha japo ndio mapenzi tena yalivyo,
lakini hatimae baada ya kuhama shule ya kata niloyokua nasoma nikanusurika kuangukiwa na nyumba![]()
Mishangazi hakupi Hela za ww kufanya michongo mingine ila utakula, utavaaa, bando utapata & saloon utaendaUnajitafuta for what mkuu..
Kama mshangazi una provide kila kitu je
Kumbe ndugu mheshimiwa na wewe ni kijana wa ovyo๐๐๐๐๐๐๐๐nilikoswa koswa nikanusirika gentleman,
tena lishangazi lenyewe lilikua bubu, aise lilikua na mikelele kama yote, ilikua ni fedheha japo ndio mapenzi tena yalivyo,
lakini hatimae baada ya kuhama shule ya kata niloyokua nasoma nikanusurika kuangukiwa na nyumba![]()
Vijana wakichaga hamuwezi pata mishangazi mna macho mabaya ya pesa bwashee๐๐๐Mishangazi hakupi Hela za ww kufanya michongo mingine ila utakula, utavaaa, bando utapata & saloon utaenda
Mkuu pale kwa mama kibena ulikua unafanya nini?Mambo ya mashangazi ๐๐๐mi sipo