Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Ndugu mbunge wewe haujawahi kunasa?
nilikoswa koswa nikanusirika gentleman,
tena lishangazi lenyewe lilikua bubu, aise lilikua na mikelele kama yote, ilikua ni fedheha japo ndio mapenzi tena yalivyo,

lakini hatimae baada ya kuhama shule ya kata niloyokua nasoma nikanusurika kuangukiwa na nyumba :pulpTRAVOLTA:
 
Ah๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mtu na heshima zako
 
nilikoswa koswa nikanusirika gentleman,
tena lishangazi lenyewe lilikua bubu, aise lilikua na mikelele kama yote, ilikua ni fedheha japo ndio mapenzi tena yalivyo,

lakini hatimae baada ya kuhama shule ya kata niloyokua nasoma nikanusurika kuangukiwa na nyumba :pulpTRAVOLTA:
Kumbe ndugu mheshimiwa na wewe ni kijana wa ovyo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom