Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #361
Mkuu kupanga ni kuchagua mbona mi nafanya mambo yangu mengine mkuuMishangazi hakupi Hela za ww kufanya michongo mingine ila utakula, utavaaa, bando utapata & saloon utaenda
ππππKwa mara ya kwanza nilitaka kushangaa jina lako liwe tofauti na mambo yako
Mkuu haka ni kamsemo kako peke yako , mtu hata kama umeandika utumbo unatamani kufutaπππAhπππππ mtu na heshima zako
Everything you have according to your name you deserve it.Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.
Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.
Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.
Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... πππππ
halafu tulikutana tu wakati tunachunga ng"ombe na mbuzi porini,Ahπππππ mtu na heshima zako
Sema wamama wa kipare sijui wapoje yaan kwao mama mkubwa kutembea na vijana wadogo sio issue kbs sasa vijana wa uboyzn walijipigia sana .......ni mwiko kukosa kareokeMkuu pale kwa mama kibena ulikua unafanya nini?
πππππππ Hapana bana ila wewe ni mtu na heshima zako mkuuMkuu haka ni kamsemo kako peke yako , mtu hata kama umeandika utumbo unatamani kufutaπππ
Unakuta mmama wa kipare anasukuma chapati kabinuka kama kigoda ,shanga 72 kiunoni , unatoboaje kwa mfanoπSema wamama wa kipare sijui wapoje yaan kwao mama mkubwa kutembea na vijana wadogo sio issue kbs sasa vijana wa uboyzn walijipigia sana .......ni mwiko kukosa kareoke
ni katika kunusurika na visa na mikasa ya maisha ya mahusiano, uchumba na songombingo za kabokamchizi tu leo hii tuko hivi tulivyo imara, tunasonga mbele zaidiKumbe ndugu mheshimiwa na wewe ni kijana wa ovyoππππππππ
Huyu ni wewe?π€£π€£π€£Unakuta mmama wa kipare anasukuma chapati kabinuka kama kigoda ,shanga 72 kiunoni , unatoboaje kwa mfanoπ
I think the work defines the man, not the story πππππ€π€Everything you have according to your name you deserve it.
Sijawahi kusema humu, mimi ni mwinjilisti lakiniπ€Huyu ni wewe?π€£π€£π€£
Sema hiyo ilikua fantastic sana mkuu aaaaah hatarrrr hiyo ππππhalafu tulikutana tu wakati tunachunga ng"ombe na mbuzi porini,
yeye na mifugo yake kwasababu alikua tajiri sana wa ng"ombe kule kijijini, halafu alikua single,
na mimi na mifugo ya nyumbani,
ilikua nikitoka shule naenda kuchunga then huko ndipo nakutana nae na mengine yanasonga bila mbambamba yoyote
Ni mwikooooo.Sema wamama wa kipare sijui wapoje yaan kwao mama mkubwa kutembea na vijana wadogo sio issue kbs sasa vijana wa uboyzn walijipigia sana .......ni mwiko kukosa kareoke
πππππ Mtu na heshima zake sioHuyu ni wewe?π€£π€£π€£
Anajitetea et πππSijawahi kusema humu, mimi ni mwinjilisti lakiniπ€
Ila in serious we kijana wa hovyo sana ππππππππni katika kunusurika na visa na mikasa ya maisha ya mahusiano, uchumba na songombingo za kabokamchizi tu leo hii tuko hivi tulivyo imara, tunasonga mbele zaidi
Lini nilisema nimeokoka mkuu?Anajitetea et πππ
Hujawahi mkuuu wanakuoneaLini nilisema nimeokoka mkuu?
πππSijawahi kusema humu, mimi ni mwinjilisti lakiniπ€