Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Sema hiyo ilikua fantastic sana mkuu aaaaah hatarrrr hiyo 😁😁😁😁
si mchezo,

ila sasa kitu kimoja kilichokua amezingi sana, na nilikua naabika kichizi, muda bubu akinifuata nyumbani twende tukachunge pamoja, hizo kelele zake babu dah, kama amri vile, halafu haoni aibu kunionyesha ishara za kugegedana, ila mim nilikua naona so kichizi yaani, hasa ukizingatia mimi ni handsome boy mpaka leo vijijini na mijini , dah
 
Huyo sio mshangazi mkuu , wewe ulikula mtu mwenye uhitaji ndugu mheshimiwa ,bubu😁
 
kwahiyo gentleman,
unadhani huo mshangazi alipo nasa huyu kijana wetu mdogo kabisa ambae sote tuna mpenda sana Poor Brain hakua au hana uhitaji?
Yani mshangazi unatakiwa uwe na pesa na upaja wa maana sasa wewe upo machungani na bibi bubu hauna hata mia , unasema mshangazi 😁😁😁😁😁😁
 
Yani mshangazi unatakiwa uwe na pesa na upaja wa maana sasa wewe upo machungani na bibi bubu hauna hata mia , unasema mshangazi 😁😁😁😁😁😁
bubu alikua na pesa ndefu gentleman,
hiyo ming"ombe ya maana ilikua yakwake binafsi, alinibebea hadi maziwa, mihogo, viazi au maboga ili nipate chochote kitu machungani, pesa haikua ya maana sana wakati huo si kama sasahaivi,

ila minadani tukienda nilikua nakula minyama na kunywa mno tukiwa pamoja na bubu, ila kwa kujificha na aibu sana watu wasi nione nae ila kelele zake ziliniumbua sana
 
😁😁😁😁Ndugu m bunge umenifanya nicheke sana ,mlikua mnakunywa mangure nini?
 
Sijui kuhusu limbwata aisee! Siwezi kuja kulitumia
Mnadanganywa sana dunia hii hakuna cha limbwata zaidi ya mauno , unakuta mtu kashikwa hapo watu wanasingizia limbwata 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…