Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha msitongozane hunu plz πππMimi nilikwambia nakupenda ukanikazia sio Sehemu yake, nikasema sina budi
Huyoooo πππ muongo muongo tuuLini mweeee,,basi baba nakupenda piaππ
Tumepima tupo safi kakaunakumbuka ndom mkuu, lishangazi hiloo ohooo
πππππ Wee akili mbili kumbeNi hiali yako pia kunikataa mbele ya Poor Brain niaibike, au ufiche aibu yangu
Malizaneni hapa ππππMbona kama unajistukia tena,,au unatafta mada tuchat zaidi hahahaha
Simoo πππLazima nishtuke usije kunipiga ya saloon kabla hata mwezi haujaisha π
Sis sina haja ya kubishana na ww ila hapa nimekuita uone jinsi gani now siteseki kama mlivotegemea..Mdogo angu em amka, hii ndoto ni mbayaa kwakooo.
Mshangazi umtoe wapiii? Mshangazi anaishi Chanika mwisho afu nyumba ya kupangaa, wee ulisikia wapiiii?
Mishangazi inaishi mikocheni, masaki, salasala, mbezi beach, kwenye mansions walizoachiwa na waume zao ambao walishang'ata duvet kitamboooo.
Wee hangaika na single mazaa uchwaraaa mwenye vichenji vya kubadilisha samaki had nyama bas. Mshangazi hana hata kadi ya bank, wee huogopiiiiii?
Woiiiiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coca natural ni mkorofi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sema kweliii?
Watu na bahati zaoDaah
Hamna bahati hapoWatu na bahati zao
Kuna nini mkuu....?Hamna bahata hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupuuu.Alisema niache kupinga uzinzi...
Tena walinikomalia kweli kweli mpaka wasimamizi wakafungia uzi, uzi ulikuwa na dakika 16 page 15
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogoo hii imagination unayotambaa nayoo.Sis sina haja ya kubishana na ww ila hapa nimekuita uone jinsi gani now siteseki kama mlivotegemea..
Sikai chanika jamni khaaaa
Alafu pili huyu antiel hata huko chanika hapajui in short...
Leo kupindi anatoka nilitamani hata nimpige picha nije kukuwekea hapa uwone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Et naota daaah weee sis jau kumbe
Hakuna cha usimat unahitajika hapo ni nguvu zako tu za kupeleka π₯ mshangazi ainjoi.Mida kama hii ndo tuna pata nafasi ya kuwa jf jamni mana maza house anakua katoka...
Kuhusu connection za mashangazi if upo serious we nicheki lakini pia vijana wenzangu haya mambo yanahitaji uwe smart kichwani usiwe mapepe mapepe.....
Yatakuja kukukuta kama ya min -me huku inabidi utulie ile ule vitamu ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mida kama hii ndo tuna pata nafasi ya kuwa jf jamni mana maza house anakua katoka...
Kuhusu connection za mashangazi if upo serious we nicheki lakini pia vijana wenzangu haya mambo yanahitaji uwe smart kichwani usiwe mapepe mapepe.....
Yatakuja kukukuta kama ya min -me huku inabidi utulie ile ule vitamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]