min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mimi sasa hivi umri umeenda nimewaachi nyie vijan bana😁😁Mida kama hii ndo tuna pata nafasi ya kuwa jf jamni mana maza house anakua katoka...
Kuhusu connection za mashangazi if upo serious we nicheki lakini pia vijana wenzangu haya mambo yanahitaji uwe smart kichwani usiwe mapepe mapepe.....
Yatakuja kukukuta kama ya min -me huku inabidi utulie ile ule vitamu 😂😂😂😂