Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Mida kama hii ndo tuna pata nafasi ya kuwa jf jamni mana maza house anakua katoka...

Kuhusu connection za mashangazi if upo serious we nicheki lakini pia vijana wenzangu haya mambo yanahitaji uwe smart kichwani usiwe mapepe mapepe.....

Yatakuja kukukuta kama ya min -me huku inabidi utulie ile ule vitamu 😂😂😂😂
Mimi sasa hivi umri umeenda nimewaachi nyie vijan bana😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogoo hii imagination unayotambaa nayoo.
Kitakulambaaaa!!
Sasa imaginary ipo wapi hapa sis....
Hivi unazani nipo hapa kutania au....

Nasema the way nainjoiii minsiwezi kuwa na mshangazi wa hovyo hizo level nishapita kitambo saaaan yaani mdaaaaa huko ...

Now hata jito la jiji silioni kiufupi nainjoi hata chuo sizani ka tarudi mambo yapo 🔥 🔥 🔥 🔥

Nakupa code tuu leo kuna katukio pale river side tokea then utajua who am i 😂😂😂😂
 
Mimi sasa hivi umri umeenda nimewaachi nyie vijan bana😁😁
Wewe takulaumu mpaka ujuteee aiseeee....

Yaani wewe utakuwa kama mfano kwa wengine ambao walichezea bahati hapa tanzania.. afrika mashariki 😂😂😂😂
 
Wewe takulaumu mpaka ujuteee aiseeee....

Yaani wewe utakuwa kama mfano kwa wengine ambao walichezea bahati hapa tanzania.. afrika mashariki 😂😂😂😂
Umri umeenda kwa sasa mkuu ,kijana wangu anakaribia 18 sasa😁
 
Hakuna cha usimat unahitajika hapo ni nguvu zako tu za kupeleka 🔥 mshangazi ainjoi.
Kupeleka moto sio kila kitu mkuu...

**** kukuchoka ila ukiwa mjanja mjanja ukajiweka wewe kama important kwake uwezi kuchokwa..

Kwani hakuna wanaopelka moto na wakaachwa kuna kitu kinaitwa creativity ndo inatumika hapa 😂😂😂😂😂😂😂
 
Nikibonga sana utasema nina_wivu ngoja ntulie.
 
Nikibonga sana utasema nina_wivu ngoja ntulie.
Hamna mkuu ila kuna kingine zaidi ya moto amini kwamba......
Kuna life ukipitia unajua how to live na pipo kama hizi.....

Parasitism system 🙏🙏🙏
 
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... 😋😋😋😋😋
Kwisha kabisa Mzee wangu.
 
Ni vile ujaingia kwa system mkuu ila ukiingia utajua nachomaanisha nini...😂😂😂🙏
Mzee wangu Shangazi kaamua kukupa vyote.

Asee kuna limoja hivi nililitongoza Age yake ni kama 53+ akawa mkali Ooo kijana naona unanivunjia heshima na akawa nanimaind kinoma.

Sasa hivi akiniona anatabasamu na kuniambia karibu nyumbani. Hii ni baada ya kusikia NIMEOA.
 
Sasa imaginary ipo wapi hapa sis....
Hivi unazani nipo hapa kutania au....

Nasema the way nainjoiii minsiwezi kuwa na mshangazi wa hovyo hizo level nishapita kitambo saaaan yaani mdaaaaa huko ...

Now hata jito la jiji silioni kiufupi nainjoi hata chuo sizani ka tarudi mambo yapo [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Nakupa code tuu leo kuna katukio pale river side tokea then utajua who am i [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangazi anakupeleka River side? Unajua wee Dogo ni Dunyaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had napaliwaaa. Woiiiiiiiiih.
 
Back
Top Bottom