Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

woooiii lenyewe boya hilo linipende mimi,,linapenda mashangazi,,apo kauliza msimamo wangu wa kumwambia atakufa vibaya.....
Mi sio boya Ms R takustaki kwa antiel wangu .

Atakufumua vibaya vibaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sis sina haja ya kubishana na ww ila hapa nimekuita uone jinsi gani now siteseki kama mlivotegemea..

Sikai chanika jamni khaaaa
Alafu pili huyu antiel hata huko chanika hapajui in short...

Leo kupindi anatoka nilitamani hata nimpige picha nije kukuwekea hapa uwone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Et naota daaah weee sis jau kumbe
 
Nilichogundua humu ndani kuna watu wanafikia hatua hadi ya kutongozana wewe Ms R na mwenzako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mida kama hii ndo tuna pata nafasi ya kuwa jf jamni mana maza house anakua katoka...

Kuhusu connection za mashangazi if upo serious we nicheki lakini pia vijana wenzangu haya mambo yanahitaji uwe smart kichwani usiwe mapepe mapepe.....

Yatakuja kukukuta kama ya min -me huku inabidi utulie ile ule vitamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alisema niache kupinga uzinzi...
Tena walinikomalia kweli kweli mpaka wasimamizi wakafungia uzi, uzi ulikuwa na dakika 16 page 15
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupuuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogoo hii imagination unayotambaa nayoo.
Kitakulambaaaa!!
 
Hakuna cha usimat unahitajika hapo ni nguvu zako tu za kupeleka πŸ”₯ mshangazi ainjoi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…