Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #41
Kwa mfano akiwa anakuachia simu yake....Kumbe mapenzi ni vitu vidogo vidogo tu kama ndugu yangu apa anapagaiwswa na kupewa password ni vidogo tu vinapagawaisha kama hivi yani watu weingine mna complocate life,
Hilo limshangazi kama jembamba Umechapika ππππYaaah mkuu.... Hapa nilipofikia sasa jf mtaniona kwa manati maninaaaaaa ππππππ
ππππππ₯π₯π₯ Naimani na wewe upo huko mkuu hongera sanaHongera sana mkuu mapenzi ni furaha na sio karaha na kero, ikijiapata una haki kuongea hivi maana mapenzi siku hizi yamepoteaππ
Kwa kuwa Mimi sio miongoni mwa Wazee wa hovyo, natamani nimfahamu Mkwe wangu.Aiseeee alafu napata notification kibao hapa mtaa kuwa vijana na wazee wanamtamani sana ila ndo hivo haya mambo yanaenda na nyota na bahati mkuu ππππππππ₯π₯π₯π₯
Sio mwembamba kwanza unajua sifa za mshangazi kijana...Hilo limshangazi kama jembamba Umechapika ππππ
Impossible.... Usije kuniibia bure maana na wewe mzee kuna mda unakuaga wa hovyo...Kwa kuwa Mimi sio miongoni mwa Wazee wa hovyo, natamani nimfahamu Mkwe wangu.
Sio vibaya akaja kunisalimia Babu yake sambamba na kuniletea Kiko π€
Limshangazi lenye Msambwanda wa hatari linakuogesha ukiwa ndani ya gu beseni gukubwa maji yametiwa iriki na mdalasini yamoto yananukia marashi ya Dubai linasema pole baba pole baba angu,Naelewa sasa....
Ogopa matapeli....
Ni vile ujapata tuu mshangazi mkuu wangu ππππππ
Ogopa mkuuHee!!
Hebu nipe man , maideasSio mwembamba kwanza unajua sifa za mshangazi kijana...
πππππ
Oaaa mtasema ila mtajua wenyewe..Limshangazi lenye Msambwanda wa hatari linakuogesha ukiwa ndani ya gu beseni gukubwa maji yametiwa iriki na mdalasini yamoto yananukia marashi ya Dubai linasema pole baba pole baba angu,
Baada ya hapo linasema unakula kwanza au unanila ndio ule?
Oy Poor Brain acha ujinga kijana Taifa linakutegemea wewe unawaza ujinga mchana huu na hili jua kali hapa mjini!
Aaagh!
ππ
Anatakiwa awe na T3Hebu nipe man , maideas
ππππ
Anakuja amelewa hapa!Acha wivu. Mwenzio amejipataπππ
Weeee weee weeeAnakuja amelewa hapa!
Akafanye kazi ajenge Taifa tunamtegemea kama mfyatua matofali eboooo!
ππ
Ukipata utaelewa kitu πππHee!!
ππππAnatakiwa awe na T3
Tako
Tumbo
Titi.....
Hivo hakuna shangazi mwembamba kwa hivo vigezo mkuu ππππππππ
Song - AmepoteaOaaa mtasema ila mtajua wenyewe..
Afu nikwambie kitu tuu... Anasemaga kaa ndani tulia mambo ya logbook sijui nn atamaliza mwenyewe..
Jana nimetoka kugombana nae kwanni mpaka umri huu siwezi endesha gari ..ππππ
Kwa hizi raha mkuu kesho mapema tunaingia hospital mambo ya afya....
ππππ Mkuu sielewi hapa...Song - Amepotea
Singer - Mbosso
God Mercy this boy!
ππ