Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #41
Kwa mfano akiwa anakuachia simu yake....Kumbe mapenzi ni vitu vidogo vidogo tu kama ndugu yangu apa anapagaiwswa na kupewa password ni vidogo tu vinapagawaisha kama hivi yani watu weingine mna complocate life,
Kila shughuli unaenda nae....
ππππππ
She proudly to be with me
.she tell her friends... πππ