Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] River side? Hapo hapanaaa. Ingekua The Elements, au Hyatt hapo ningekujaaa dogo.

Ongea na shangazii vizurii anaua Brand, au bado hajajipataa?
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu tuuu...
Jana ungekuja ungeinjoi sana sis ni vile unazani nipo kutania hapa 😂😂😂😂😂
 
Anakupelekaa wapiii sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani kuna ishu zao pale mi kasema nimsindikiz tu na wewe..
Tatizo mgumu kuelewa 😂😂😂😂
 
Kuna safari hapa inaweza kujitokeza ya nje hivo kukaa hapa peke angu ni uwongo..

Hivo kama kuna mwana ambaye yeye hana mambo mengi anaweza kuchonga na mimi tujue tunafanyaje wakuu....

Fursa kama hizi sio za kunyimana wakuu... Hii kwa vijana lakini sio uje pale una familia 😂😂😂😂
 
Sijakumanya, yaani?
 
Jamani kuna ishu zao pale mi kasema nimsindikiz tu na wewe..
Tatizo mgumu kuelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan mshangazi Una issues zake River side? Wee em kua serious?
Dogooo bado hujapata mshangazii, endelea kutafuta tenaa.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
River side? Hapanaaaaa
Muambie Shangazi ajitafuteee na ajipateee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kashajipata mbona..
Kwani river side unajua kuna nn na bichwa hilo
 
Yaan mshangazi Una issues zake River side? Wee em kua serious?
Dogooo bado hujapata mshangazii, endelea kutafuta tenaa.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua tulienda kufanya nn huko..
Coca unatia hasira ujue na bichwa hilo
 
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... 😋😋😋😋😋
Alaaah naona Kijana unatumika tu, sasa angalia hilo Lishangazi lisiwe na tabia kama za Shishi likikuchoka linakutema kama Big G
 
Yaan mshangazi Una issues zake River side? Wee em kua serious?
Dogooo bado hujapata mshangazii, endelea kutafuta tenaa.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣
Mishangazi ya Liver side hapana kwa kweli bado hana cha kumfanya mpaka aanzishe huu uzi
 
Back
Top Bottom