Nakubaliana 100% na walichokifanya Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Kukamata, Kutesa na Kupiga Raia Kawe kwa Mauwaji

Me nataka kujua huyu jamaa anajishughulisha na nini hadi kuwa na muda wa kuongoza page mob namna hii, Imagine mtu anaandika nyuzi moja, Anaenda acc nyingine anaandika tena, Then anaenda nyingine anajiunga mkono akiona haitoshi anaenda kuandika nyingine ya kujipinga 😁😁😁😁 Asee salute mwamba
 
KWahiyo unataka kusema nchi hii haina sheria

Kila anaeua na yeye AUAWE kwa amri ya nani?

Sio mahakama tena ndio itoe hiyo amri bali ni group la watu?

Hakuna rule of law and order!

Hauna nchi hapo
 
Yaani unaliita jeshi imara la police? Kweli wewe ni unga aisee police ni imara kuliko JWTZ?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Elewa maana ya Entertainer and game changer 😆😆
 
Wananchi hawana kosa hapo hayo ni mambo ya Marehemu na huko kwao alikotokea unapajua vizuri?

Kumbuka alikuwa anaenda kupandishwa cheo...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu Wiki hii na ilopita yote Ulikuwa ukiwasema wanajeshi Vibaya nini kimekutokea Boss Nauna umechezea Ban umekuja na ID tofauti....

Ila kaaa ukijua kuwa Minocycline nayo ni second-generation tetracycline kwahiyo ni ANTIBAYOTIKI
NA
GENTAMICINE pia ni ANTIBAYOTIKI 🤣🤣🤣

Vipi kuhusu Most talented vipi kuhus charismatic
🤣🤣🤣

Tutakunyanyasa kote Tumeenda hapo kwako tumeambiwa umehama kawe umehamia kati ya mbezi au Sinza Tunakuja 🤣🤣🤣🤣🤣

"alisikika mwanajeshi mmoja aliye mwona Gentamycine kaja na ID tofauti
 
Kuna kitu unachanganya kuna jeshi na kuna wanajeshi,wanajeshi ni watu mchanganyiko kuna wanaopenda kuheshimiwa hawa hawanaga tatizo kabisa hueshimu utu wa raia pia,sasa kuna hawa wengine ndo shida,na ndo maana jeshini wanafundisha sana nidham,kwa sababu wanajua
 
Huyu ni kilaza

Nishakutana nae kawe ni mchafu balaa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…