Nakubaliana 100% na walichokifanya Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Kukamata, Kutesa na Kupiga Raia Kawe kwa Mauwaji

Popoma hovyo kabisa, hata Mimi najua wewe ni genta ukishapigwa ban unakuja na hii id.
Unajifanya una akili kwa kuandika kinyume thread zako.
 
Popoma unajulikana, acha kujitoa ufahamu.
 
eti Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina

hovyo kabisa!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mwanangu Genta kapatikana leo angekuepo apa angechemka ungelowa mitusi double double
 
Gentamcyne na Id mpya

Muandiko wako na mtiririko huwezi kujificha

Hii ni ID yako Gentamycine
 
Leo unajigeuka mwenyewe?

Unajuwa kweli kucheza na akili za wajinga wenzako humu.
 
Hivi Mimi Huwa sielewi misemo yenu ya kuwa mliosomea Cuba ,Cuba mlienda kusomea Nini??

master degree of discovery management association with stakeholder diploma of human kindness na physical therapy mkuu. ada inategemea ni muda utakao soma.
 
Tena wasiishie tu Kuwapiga bali wamalize na Shughuli kabisa hadi Raia mkome. Yaani mnaua Afande ( tena Luteni Kanali ) halafu mnataka mchekewe tu? Mpigwe kabisa.
Kwani huyo Afande kauawa na watu wangapi?!

Kwani kuwa Afande Kuna kipi kubwa?! Ni kazi Kama kazi nyingine!

Ilifaa waadabishwe wanapoonea raia pia ..Ni tz tu watu majoga!

Tunaishi kwa kushirikiana na kuheshimiana pi!
 
kiazi mmoja wewe yani nani apigwe kiboya sema tutapigana, nakazia hao magwanda waache kupiga dada zetu, mama zetu shangazi zetu na watoto, watutafute vidume wenzao tuwafanyie ambush kama hamas mbona tutaelewana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…