Nakubaliana 100% na walichokifanya Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Kukamata, Kutesa na Kupiga Raia Kawe kwa Mauwaji

Huyu ni kilaza

Nishakutana nae kawe ni mchafu balaa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
ni mchafu kuliko damu za hedhi za mama yako? mmevuka mipaka ya kumchafua huyu mtu kwa uwongo wenu, uzushi wenu na chuki zenu kwake hivyo watetezi wake tuko na tutampamnbania kwa gharama yoyote ile. na subiria atoke ban aje akute umemchafua hivi kwa uwongo na akupe jibu lake nina uhakika wa 100% hutolifurahia na litakuumiza sana tu
 
😂 Online online.
 
Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.

MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.

CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.

MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.
Siye watu wa fasihi tumekwisha elewa hii statement yako Genta (charismatic fella) iko ironic/sarcastic. Siyo kweli unawapongeza JWTZ, bali unawananga. Umeamua kutumia sarcasm baada ya kula ban kupitia ID yako ya siku zote antibiotique-gentamycine, ambapo ulikuwa ukiponda directly
 
Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.

MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.

CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.

MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.
Arooo mbona kama unajipigia chapuo nanga?
 
ni mchafu kuliko damu za hedhi za mama yako? mmevuka mipaka ya kumchafua huyu mtu kwa uwongo wenu, uzushi wenu na chuki zenu kwake hivyo watetezi wake tuko na tutampamnbania kwa gharama yoyote ile. na subiria atoke ban aje akute umemchafua hivi kwa uwongo na akupe jibu lake nina uhakika wa 100% hutolifurahia na litakuumiza sana tu
Mkuu Vipi mama yako havuji damu ..?au anavuja kote kote
 
Kwan maana ya JWTZ NI NN?? JESHI LA WANANCHI TANZANIA. HAO WANANCHI NI AKINA NAN?? NI MM NA WW, FULL STOP .KAZ YA JESHI NI KUTULINDA SISI WANANCHI NOT OTHERWISE.
 
Me nataka kujua huyu jamaa anajishughulisha na nini hadi kuwa na muda wa kuongoza page mob namna hii, Imagine mtu anaandika nyuzi moja, Anaenda acc nyingine anaandika tena, Then anaenda nyingine anajiunga mkono akiona haitoshi anaenda kuandika nyingine ya kujipinga 😁😁😁😁 Asee salute mwamba
Mkuu hiyo ni taasis. Ni zaidi ya mtu mmoja. Ni kama Kigogo wa twitter
 
Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.

MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.

CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.

MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.

Hao wanajeshi imara Afrika Mashariki na Kati wasipochunga nidhamu zao uraiani watakufa kama vicheche tena kwa aibu[emoji28] huwezi kuonea watu wakakuchekea tu. Heshimu Raia! Hakuna anayejitoa muhanga kulinda maisha ya mwengine. Watu wanaingia huko kwasababu ni sehemu ya kujitafutia kipato kama kazi nyingine.
 
Hivi genta hapo kawe napata fremu nataka nifungue goli la kuweka uwqkala maana sio kwa nyomi lile la mwamposa.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom