A
Acha kujificha kwenye shamba la karanga, wale mabaunsa wanaonekana wazi sura zao na wamekuwa wakiongozana na timu ya Yanga hata ktk mechi za away, nani asiye wajua. Simba akaripoti police ili iweje au haujui kanuni za mpira. Hata hivyo police walikuwepo pale na hawakufanya lolote, simba ametumia haki yake ya kikanuni ya 31. Je wewe unatumia kanuni ipi kusema simba au Tff ana makosa itaje hapa tuisome na siyo blaablaa za vijiwe vyenu. Simba inatumia kanuni ninyi Yanga onyesheni kanuni zilizokiukwa, acheni vioja.