DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kinachoenda kwa mganga hakirudi. Wametumia milioni 50 kwa waganga na unajua waganga hawatoi risiti wala kurudisha chenji.Ndio hivyo. Mechi ilishaahirishwa, jiandaeni upya. Majini yenu kama mliyaseti basi yabembelezeni hayajamaliza kazi
Kumbe hadi wameitisha bakuli la kwenda CAS? Aiseee....Manara sasa anaomba Yanga iitishe mkutano wa chama kisha uchangishe pesa kwenda CAS na yeye atasimamia,
Anakili hadharani kuwa Yanga haina mfuko huo ,unataka kusema Yanga wanakosa Dola elfu 45?
Anajua mpaka hali ya fedha ya team,huyu Manara ni mtu wa propaganda wenu ila hamjui mcheze nae vipi
Sasa mpo katikati na hamjui mnataka nini?
Tulieni dawa iwaingie muone shubiri kucheza Tanzania..mkatafute ligi yenu nyingine huko ya kucheza Madagascar labda ,[emoji23][emoji23][emoji23]Karia ni dictator mwenye wivu wa kike sana yan[emoji706][emoji706]
Toka lini msimamo wa club ya Yanga ukatangazwa na Manara na Muro?
Yanga ina Rais, makamu wa Rais, CEO, kamati tendaji, Afsa habari Ali Kamwe hawa ndo wanatangaza maazimio ya Yanga.
Yanga ina mashabiki zaidi ya million 40 itakuwa ikiwajibu wangapi.
Mume anawezaje kumchukia mkewe wakati alimtolea mahari kwa mbwembwe!Rais wa TFF awezaje kuichukia timu wakati yeye ndiye mkuu wa shirikisho la mchezo wa soka?
Kumbe hadi wameitisha bakuli la kwenda CAS? Aiseee....
Nimekwambia Jerry Muro na Manara sio watendaji wa YangaTaarifa kwa Uma haijalishi una wanachama wangapi,ni kujibu kuwa Yanga haihusiki na shutuma zinazotolewa na baadhibya wanachama kutokua na imani na bidi ya ligi.
Kwa hili sakata Manara amezungumza na waandishi wa habari mara 2,na muro zaidi ya Mara 4.
Unataka kusema Yanga hawana baraka na hili,Manara na muro ni wajumbe wa mkutano mkuu,ni viongoI wastaafu wa Yanga.
Sijasikiliza hayo mahojiano yake yote, nimeona kipande tu. Nasikia amesema pia urais wa Hersi inabidi uandikwe kwa kuanza na herufi ndogo ya r.Watu hawako attentive na details kabisa,Manara amesema Yanga mfuko huo hawana wa kufungua kesi CAS yeye ataongoza kuchangisha
Amemtaka mdogo wake Hersi aitishe mkutano wa dharula.
Amesema Karia amelewa madaraka.
Haogopi kufungiwa.
Makosa gani! Yataje akiambatanisha na kanuni iliyokiukwa na simba. Simba ametumia haki yake ya kikanuni kwa kutumia kanuni ya 31 haya weka kanuni iliyokiukwa na simba au Tff. Je kuzuia timu mgeni kufanya mazoezi siyo kukiuka kanuni? Mbona mnajitoa ufahamu. Mabaunsa walikuwa wamevaa jezi za yanga na kwamekiri kutumwa na viongozi wao kwa maelezo yao, mbona Yanga hawajatoa tamko la kujitenga nao kama kweli hawahusiki?Hata sisi Yanga tunashangaa
Kwanini Karia ameonyesha wazi kuwa yeye ni Simba na anatetea makosa ya Simba
Toka lini Yanga ikawa na mabaunsa ?Makosa gani! Yataje akiambatanisha na kanuni iliyokiukwa na simba. Simba ametumia haki yake ya kikanuni kwa kutumia kanuni ya 31 haya weka kanuni iliyokiukwa na simba au Tff. Je kuzuia timu mgeni kufanya mazoezi siyo kukiuka kanuni? Mbona mnajitoa ufahamu. Mabaunsa walikuwa wamevaa jezi za yanga na kwamekiri kutumwa na viongozi wao kwa maelezo yao, mbona Yanga hawajatoa tamko la kujitenga nao kama kweli hawahusiki?
Kwa nyakati kadhaa Simb imetoa matamko juu ya mashabiki wake akiwemo GB 64 kama utakumbuka.Nimekwambia Jerry Muro na Manara sio watendaji wa Yanga
Wale wanaongea maoni Yao
Mbona wazee wa Simba waliitisha press wakasema watangoa vitu, watamroga Kayoko na Kuhamia ligi ya Burundi, Kwahiyo tuamini kuwa Simba iliwatuma?
Toka lini Yanga ikawa na mabaunsa ?
Hao ni wahuni waliandaliwa na Simba ili kukwepa mchezo baunsa Gani atazuiaje Simba yenye msafara wa police
Kutoka Uwanja wa Mkapa kufika police Chang'ombe ni mita 10, kwanini Simba hawaku report police ?
Doctor Mo alimtukanq Karia Simba walitoa tamko Gani?Kwa nyakati kadhaa Simb imetoa matamko juu ya mashabiki wake akiwemo GB 64 kama utakumbuka.
Hili la wazee simba hawakulitolea neno.
Kwa Tension hii Yanga wanapaswa kutoa Tamko.
Turui kwenye maada sasa.
Toka lini Yanga ikawa na mabaunsa ?
Hao ni wahuni waliandaliwa na Simba ili kukwepa mchezo baunsa Gani atazuiaje Simba yenye msafara wa police
Kutoka Uwanja wa Mkapa kufika police Chang'ombe ni mita 10, kwanini Simba hawaku report police ?
Acha kujificha kwenye shamba la karanga, wale mabaunsa wanaonekana wazi sura zao na wamekuwa wakiongozana na timu ya Yanga hata ktk mechi za away, nani asiye wajua. Simba akaripoti police ili iweje au haujui kanuni za mpira. Hata hivyo police walikuwepo pale na hawakufanya lolote, simba ametumia haki yake ya kikanuni ya 31. Je wewe unatumia kanuni ipi kusema simba au Tff ana makosa itaje hapa tuisome na siyo blaablaa za vijiwe vyenu. Simba inatumia kanuni ninyi Yanga onyesheni kanuni zilizokiukwa, acheni vioja.Toka lini Yanga ikawa na mabaunsa ?
Hao ni wahuni waliandaliwa na Simba ili kukwepa mchezo baunsa Gani atazuiaje Simba yenye msafara wa police
Kutoka Uwanja wa Mkapa kufika police Chang'ombe ni mita 10, kwanini Simba hawaku report police ?
Wataje Kwa majina hao mabaunsaA
Acha kujificha kwenye shamba la karanga, wale mabaunsa wanaonekana wazi sura zao na wamekuwa wakiongozana na timu ya Yanga hata ktk mechi za away, nani asiye wajua. Simba akaripoti police ili iweje au haujui kanuni za mpira. Hata hivyo police walikuwepo pale na hawakufanya lolote, simba ametumia haki yake ya kikanuni ya 31. Je wewe unatumia kanuni ipi kusema simba au Tff ana makosa itaje hapa tuisome na siyo blaablaa za vijiwe vyenu. Simba inatumia kanuni ninyi Yanga onyesheni kanuni zilizokiukwa, acheni vioja.
Acha ushamba hili siyo jukumu la polisi kupambana na wanaovunja kanuni za mpira bali wavunja kanuni hushughulikiwa kikanuni. Inaonekana wewe umeanza kufuatilia mpira kipindi cha Hersi. Mabaunsa na Yanga ni pete na kidole. Tafuta crips YouTube mabaunsa wanajieleza na sura zao tunazijua vizuri sana hata tukikutana jina hazikusaidia wewe unasema huwajui.Wataje Kwa majina hao mabaunsa
Yaani uwepo uvunjifu wa amani na police wakubali kushindwa
Simba akishirikiana na TFF kuhujumu mechi
Yanga amecheza mechi ngapi akiwa mwenyeji mbona hatujawahi kusikia habari za mabaunsa
Tutabanana hapa hapa, hamtoamini kitu tutawafanya na huyo tumbo tumbo wenu!Tulieni dawa iwaingie muone shubiri kucheza Tanzania..mkatafute ligi yenu nyingine huko ya kucheza Madagascar labda ,[emoji23][emoji23][emoji23]