Unajua jukumu la polisi?A
Acha ushamba hili siyo jukumu la polisi kupambana na wanaovunja kanuni za mpira bali wavunja kanuni hushughulikiwa kikanuni. Inaonekana wewe umeanza kufuatilia mpira kipindi cha Hersi. Mabaunsa na Yanga ni pete na kidole. Tafuta crips YouTube mabaunsa wanajieleza na sura zao tunazijua vizuri sana hata tukikutana jina hazikusaidia wewe unasema huwajui.
Hatukua na mgogoro na karia sisi,alisema kwa utashi wake na aliomba msamaha.Doctor Mo alimtukanq Karia Simba walitoa tamko Gani?
Yaani Yanga itolee tamko kila maoni ya shabiki.
Kama Karia anaona Manara amemdhalilisha amshtaki mahakamani apate haki yake.Hatukua na mgogoro na karia sisi,alisema kwa utashi wake na aliomba msamaha.
Nyinyi mna mgogoro na uongozi wa Bodi ya ligi,na mmeandika wajiudhuru kwa barua sasa unawaza kitu gani hapo.
Baadae watu kama Manara wanakuja kuwatukana kina Karia mnataka Karia aelewe Nini?
Kama Karia anaona Manara amemdhalilisha amshtaki mahakamani apate haki yake.
Manara ni mwanachama wa Yanga sio kiongozi wala mtoa maamzi ndani ya Yanga
Nimekwambia Yanga ana madai yake Kwa bodi ya ligiSasa huo ni maelezo yako lakini anachosema Manara sasa kinaenda Sawa na mlichoandika kwa barua yenu kwa Bodi ya Ligi,
wewe utakuwa darasa la 6B nimekuambia siyo jukumu la police kupambana na wa wavunja "kanuni za mpira" na siyo "sheria za nchi" nenda shule usome. Ndiyo maana yanga haijawahi kushinda kesi cas kwa watu kama mnaokurupuka bila kusoma.Unajua jukumu la polisi?
Yaani uwepo uvunjifu wa amani then police waseme uvunjifu wa amani haiwahusu
Hivi nyie mbumbumbu humo vichwani mmetunza funza au
Nimekwambia Yanga ana madai yake Kwa bodi ya ligi
Na Manara anatoa mtazamo wake
Manara alipoongea hakuwa kwenye ofsi za Yanga wala hakuna nembo ya Yanga.
Karia akiona Manara kamdhalilisha aende kwenye vyombo vya haki huko
Sio Yanga kumjibia
Wavunja kanuni wakihusisha vurugu na uvunjifu wa amani pia polisi watataza tu?wewe utakuwa darasa la 6B nimekuambia siyo jukumu la police kupambana na wa wavunja "kanuni za mpira" na siyo "sheria za nchi" nenda shule usome. Ndiyo maana yanga haijawahi kushinda kesi cas kwa watu kama mnaokurupuka bila kusoma.
Wewe ndiye uliyesema uvunjifu wa amani, mimi nimekwambia uvunjifu wa kanuni za mpira, ndiyo maana hata serikali hairuhusiwi kujihusisha na masuala ya mpira. Uvunjifu wa amani ukitokea uwanjani ktk harakati za mchezo kuna kanuni zake na siyo sheria za police, Na pale simba wlipokuwa ulikuwa ni uvunjifu wa kanuni tu! We nenda shule.Wavunja kanuni wakihusisha vurugu na uvunjifu wa amani pia polisi watataza tu?
Mna ubongo wa bata nyie watu?
Simba wanadai walizuiliwa na mabaunsa na ikazuka fujo mbele ya polisiWewe ndiye aliyesema uvunjifu wa amani, mimi nimekwambia uvunjifu wa kanuni za mpira, ndiyo maana hata serikali hairuhusiwi kujihusisha na masuala ya mpira. Na pale simba wlipokuwa ulikuwa ni uvunjifu wa kanuni tu! We nenda shuke.
Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii
Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani
Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo kwenye media
1. Hakuna kiongozi wa Yanga amewahi kuongea na vyombo vya habari na kuchafua TFF na bodi ya ligi
Yanga wametumika mbinu sahihi ikiwa ni kuandika barua ya malalamiko na madai Yao Kwa bodi ya ligi,
Tulitegemea bodi ya ligi na TFF kuwajibu Kwa njia rasmi
2 Karia anasemaje viongozi wa Yanga hawapaswi kuwa kwenye madaraka Yao.
Hii ni dharau kwetu Wanachama tuliowachagua Kwa kura kihalali kwamba yeye anaona tulikosea.
Eng Hersi Said na Kamati tendaji ya Yanga ipo madarakani kikatiba wala sio Kwa kupendelewa
3 Karia anasemaje viongozi wa Yanga wanafanya utoto
Sijui kama Karia yupo sawa kichwani.
Yaani viongozi wa Yanga wameandaa timu Kwa gharama, wamelipa wachezaji, wamekodi uwanja, wamealika wageni na mashabiki.
Bodi ya ligi na Simba wakasingizia mazoezi na kukimbia mechi
Yanga wakaandika barua, Leo Karia anasemaje viongozi wa Yanga wana utoto
Hii ni kashfa kubwa na dharau Kwa Yanga, kuitwa watoto
Yanga imekuwa bingwa mara 30, Yanga amecheza final CAFCC, Yanga ni timu tishio Africa
Karia acha dharau
4. Karia amedhara tasnia ya Sinema.
Karia kusema kuwa Yanga wakacheze Sinema, hii ni dharau Kwa tasnia
Sinema ni tasnia kubwa, umeajiri Watanzania wengi kuanzia wasanii, directors, managers n.k
Kwanini Karia alinganishe tasnia ya film kama jambo la ovyo
5 Karia amejipa upofu juu ya makosa ya bodi ya ligi
Uzembe uliofanywa na bodi ya ligi ana uhalalisha, hatokei kukemea
Karia wewe ndo Rais wa mpira, weka hisia na mapenzi pembeni tenda haki
Karia Kwa wadhifa wako inatakiwa uchunge kauli yako, kama umeelewa madaraka utajua
Yanga tunahitaji kuifuta TFF nzima na taasisi zake Kwa hujuma dhidi ya timu yetu
Yanga bingwa
Kitu usichojua ni mkakati wa TFF kulazimisha Simba ibebe kombe kupitia marefa kuipendelea Simba na hilo haliwezi kutokea sababu ya ubora wa Yanga. Ligi ikiisha sarakasi pia zitafika tamati na Yanga itabeba ubingwa wake wa 4.Nyie mnapotaka kusema yenu kama Yanga mnatumia vibaraka kama Jeri Muro na H.Manara kumsema Karia na Bodi ya Ligi,
Kama sio kauli ya Yanga mbona hamtoki hadharani kukanusha hizi maneno za hawa vibaraka wenu wanaowatusi nankushutumu bodi ya Ligi wajiuzuru?
Karia ameamua kujibu utoto wenu mnakua tena wakali,endeleeni kushinikiza Karia Ajihudhuru kama ilivyo ajenda yenu.
Mlipaswa kuona Tatizo katika kuongozi wenu kurubusu uhuni na mabaunsa wawatawale.
Kitu usichojua ni mkakati wa TFF kulazimisha Simba ibebe kombe kupitia marefa kuipendelea Simba na hilo haliwezi kutokea sababu ya ubora wa Yanga. Ligi ikiisha sarakasi pia zitafika tamati na Yanga itabeba ubingwa wake wa 4.
Bodi imepuyanga mno na boss wao na wajumbe wote hawana haki tena kuendelea kuhudumu kwenye nafasi zao. Wanapaswa kutoka haraka waingie watu wa mpira, hasira za Mr karao na kupayuka kwake ni ushahidi wa kushindwa majukumu yake na kuamua kuvuruga mada iliyo mezani, hata saa mbovu hupatia majira hivyo mkisema Yanga wenye akili wawili basi hata wale mnaotuona hamnazo katika hili la kuitaka tff itoke yote tumepatia!
Bodi ya ligi imekosea kuibeba Simba na sasa ni lazima watoke kwa kuvuruga ligi, huwezi kubariki timu kuingia mitini kukwepa kichapo kwa sababu za kitoto, kwani uliona wapi Ng'ombe akanenepa mnadani? Mazoezi ya siku moja yasingesaidia chochote kipigo kilikuwa haki ya makolo. Yaani kisa mganga kuwaambia watafungwa kwa kutochinja mbuzi uwanjani basi wamekimbia mechi, hili halikubaliki, ni kanuni namba ngapi inasema timu pinzani isipofanya mazoezi mechi ifutwe? TFF waitaje hiyo kanuni
Karia na ni mwanachama hai wa Simba na anatumia TFF kuinufaisha SimbaMnadandia kila Ajenda na kuona mna haki wakati hamna haki.
Sasa Agenda yenu ni maneno ya Karia ambayo hayana msingi kisheria .
TFF ni Taasisi yenye kanuni na haiongozwi na Karia peke yake.
Nafikiri mngejikita kupata majibu ya barua yenu kwa Bodi ya Ligi.Yakiwa tofauti kuna ngazi za kisheria za kufuata kimpira.
Kuna CAS ambako hawana upendeleo,ukizingatia Hersi ni Rais wa vilabu balani afrika😂😂
Simba wao wanadai kanuni ya 17(45) ilivunjwa kwa kuzuiwa kuingia kufanya mazoezi. Hoja hapa ni kukiukwa kwa kanuni, je kanuni ilikiukwa au haikukiukwa hii ndiyo hoja.maSimba wanadai walizuiliwa na mabaunsa na ikazuka fujo mbele ya polisi
Tuwe wawazi Simba walijiandaa kukwepa mechi ila Simba sio mgeni Tanzania kwamba akizuiwa hajui cha kufanya
Maneno mengi lakini ni porojo tu.Kitu usichojua ni mkakati wa TFF kulazimisha Simba ibebe kombe kupitia marefa kuipendelea Simba na hilo haliwezi kutokea sababu ya ubora wa Yanga. Ligi ikiisha sarakasi pia zitafika tamati na Yanga itabeba ubingwa wake wa 4.
Bodi imepuyanga mno na boss wao na wajumbe wote hawana haki tena kuendelea kuhudumu kwenye nafasi zao. Wanapaswa kutoka haraka waingie watu wa mpira, hasira za Mr karao na kupayuka kwake ni ushahidi wa kushindwa majukumu yake na kuamua kuvuruga mada iliyo mezani, hata saa mbovu hupatia majira hivyo mkisema Yanga wenye akili wawili basi hata wale mnaotuona hamnazo katika hili la kuitaka tff itoke yote tumepatia!
Bodi ya ligi imekosea kuibeba Simba na sasa ni lazima watoke kwa kuvuruga ligi, huwezi kubariki timu kuingia mitini kukwepa kichapo kwa sababu za kitoto, kwani uliona wapi Ng'ombe akanenepa mnadani? Mazoezi ya siku moja yasingesaidia chochote kipigo kilikuwa haki ya makolo. Yaani kisa mganga kuwaambia watafungwa kwa kutochinja mbuzi uwanjani basi wamekimbia mechi, hili halikubaliki, ni kanuni namba ngapi inasema timu pinzani isipofanya mazoezi mechi ifutwe? TFF waitaje hiyo kanuni
Hiyo kanuni ilivunjwa na nani?Simba wao wanadai kanuni ya 17(45) ilivunjwa kwa kuzuiwa kuingia kufanya mazoezi. Hoja hapa ni kukiukwa kwa kanuni, je kanuni ilikiukwa au haikukiukwa hii ndiyo hoja.ma
Maneno mengi lakini ni porojo tu.
Onyesheni kanuni ya ngapi iliyokiukwa na bodi/Tff au timu ya simba, wenzenu wame ainisha kanuni walizotumia wewe taja kanuni iliyokiukwa tuisome.