Nakubaliana na Mange Kimambi kuhusu wasanii wa Bongo

Nakubaliana na Mange Kimambi kuhusu wasanii wa Bongo

Kichaa hawezi kupona ila anapata nafuu na hautakiwi kumuamini pia(Mange),nadhania hata lengo kuu la uzi liko wazi if u can read between the line bado nashangaa idadi ya makala zinavyoongezeka kisa kuna ngoma moja imetoka tena ya yule anaesemwa kaisha tunasahau kua kuna joints kibao zimemwagika tena za wakongwe hasa kama AY na hatukutaka kuziongelea mi nadhani ifike wakati tupunguze chuki za kipuuzi ili maisha yaendelee maana tunatoana akili tu.

MosDef nakubaliana na wewe kwenye ishu ya kuwa na identity iwe kwa mwanamuziki au mtayarishaji ni kitu muhimu jambo la msingi ni kuangalia mahitaji ya soko nashangaa kusikia watu wanataka kumsikia mwanamuziki akiwa kama yuleee haiwezekani leo Prof Jay apasuke kama chemsha bongo,TID apite kama Zeze na Nature wa Hili gemu au Fa wa Ingekua vipi ni mwehu pekee atabaki na fikra hasi narudia tena MosDef mara chache unazochangia unaacha alama sahihi bravo mkuu kwa hili.
Ukiona unachukiwa sana basi jua wanakuogopa au wanaanza kukupenda.

bora umesema lllooh
 
Last edited by a moderator:
nifah, huyu Mange ana akili timamu! Yani miwani kaivaa wee kisa haipendi ndo anataka agawie wale akina mawaziri -----! Kweli umasikini huuu
 
Last edited by a moderator:
nifah, huyu Mange ana akili timamu! Yani miwani kaivaa wee kisa haipendi ndo anataka agawie wale akina mawaziri -----! Kweli umasikini huuu

Hahahaaa, na watakavyoigombea sasa! Dunia hii kuna vituko sana.Ngoja nikajionee maajabu ya bibi kijiti na misukule yake.
 
Last edited by a moderator:
Afu ile "akadumba" ya Ney wa Mitego, mbona haikuandikiwa Barua???

Excuse, itakuwa Ali kiba ni msanii mkubwa na Mkongwe!!!! (piece of shit)...

3 WORDS "MUSIC NI BIASHARA"

Mbna na yeye anakiblog uchwara hakina chochote cha maana zaidi y kuweka picha ya sura yake ngumu kma kanusa harufu ya nguru
 
nifah, huyu Mange ana akili timamu! Yani miwani kaivaa wee kisa haipendi ndo anataka agawie wale akina mawaziri -----! Kweli umasikini huuu

Huyo bibi ni mzee wa wivu 2 kazi kukosoa wenzie wakti yeye anakiblog uchwara 2 arudi bongo 2 hko stress zitamuua
 
Last edited by a moderator:
Mbna yeye anakiblog uchwara 2 kazi kuweka sura yke ngumu 2 hakina jipya hicho kibibi

sura yake imekomaa halafu kavuuu!
mbona yeye habadilishi radha ya blog kila siku magazeti akikosa wakugombana nae ni vipicha vyake
 
sura yake imekomaa halafu kavuuu!
mbona yeye habadilishi radha ya blog kila siku magazeti akikosa wakugombana nae ni vipicha vyake

Mziki we2 sio kma kina dbanj au mafikizolo wasanii wanaimba jinsi washabiki wao wanavyopenda.cjui yeye ndio mtu wa kukosoa wenzie 2
 
Kusema ukweli nakubaliana na alichokisema Mange.
Diamond na Kiba wana vipaji ila wasipofuata ushauri wa huyu dada watapotea.
Mange ananikera kwa tabia zake za ugomvi ila hapa ameongea point ya maana sana.
 
=Diamond ana nyimbo 3 tu;kamwambie,mbagala na nitarejea nyingine zilizobaki ni kiki tu na promo za osata.
=Kiba aache mziki tu afanye kitu kingine,kiba wa cinderela na wajua sio huyu.
=Jux na Mdee hamna kitu kabisa bora wamuombe best nasso awaandikie na kuwapa melody.
 
Wewe ni mchawi kabisa...
 
Mi huwa napenda mashabiki mnavyojitia ufundi alafu kimoyo moyo mnaimba hzi nyimbo zao, ama mnashinda kupiga kelele huku mkirudi kwenye radio station nyimbo zimeshika chat kila station na hawa vijana wanapiga show kuingiza pesa zao kama kawaida. (Diamond na Kiba wanafanya vizuri, msilazimishe Cyndelela na Mbagala ziwe Chekechua na Ntampata wapi, huu ni wakati mwingine)
 
Kusema ukweli nakubaliana na alichokisema Mange.
Diamond na Kiba wana vipaji ila wasipofuata ushauri wa huyu dada watapotea.
Mange ananikera kwa tabia zake za ugomvi ila hapa ameongea point ya maana sana.

Mmhhh!!Hatari dada angu, sasa wafate ushauri wa Mange, Mange kasoma mziki lini???anajua nini kuhusu mziki???Uko si watapotea aiseee
 
Mmhhh!!Hatari dada angu, sasa wafate ushauri wa Mange, Mange kasoma mziki lini???anajua nini kuhusu mziki???Uko si watapotea aiseee

Kujua mziki mzuri au mbaya hakuhitaji elimu.
Kwani huyo Diamond na Kiba wamesomea wapi Muziki?
Kwanini una dharau wazo la kuwa hawa wanamuziki wanatakiwa wanunue nyimbo za watu wengine ili waepuke kutoa nyimbo mbaya?
Wimbo wa whitney wa "I look to you" mtunzi ni R kelly.
Neyo keshamtungia Beyonce na Rihana nyimbo na dunia nzima inajua.
Mkisema kwani ni lazima waige kila kitu cha marekani nitashangaa sababu kila msanii wa bongo anataka video zake ziwe na quality ya video za marekani sasa kama wanaiga ubora wa video basi na waige pia mambo mengine kama kukubali kuimba nyimbo zilizotungwa na watu wengine.
 
Mi huwa napenda mashabiki mnavyojitia ufundi alafu kimoyo moyo mnaimba hzi nyimbo zao, ama mnashinda kupiga kelele huku mkirudi kwenye radio station nyimbo zimeshika chat kila station na hawa vijana wanapiga show kuingiza pesa zao kama kawaida. (Diamond na Kiba wanafanya vizuri, msilazimishe Cyndelela na Mbagala ziwe Chekechua na Ntampata wapi, huu ni wakati mwingine)

Wanafanya vizuri ndio.Na nyimbo zao ndio zinazoongozwa kupigwa redioni hiyo haina ubishi sababu majina yao yako kwenye chati.Ila jiulize wakiendelea kutoa nyimbo mbovu mbovu kama hizi watakua wapi miaka mitatu ijayo.
Binafsi nyimbo nzuri za Diamond ni kuanzia My number one na kurudi nyuma hizo zilizofuatia ni MBAYA na ukweli lazima watu waseme.Mimi ni shabiki mkubwa wa Diamond hata kifesi anajua ila unafki sipendi na Diamond ni kama amefulia kwenye kutunga nyimbo nzuri.Ali Kiba ndo anapumulia mashine maskini ya Mungu,yaani karudi na vinyimbo vimechooka kama nguo za mtumba wa Karume.Mwana ni nzuri kidoogo ila haina hata robo ya viwango wa zile nyimbo zake za mwanzo.Huyu Ali Kiba huyu yaani ile sauti yake haitendei haki kabisa na hutu tu nyimbo twake tupya.Mi huwa najiulizaga hivi Kiba na ile sauti yake adimu ndio angeimba My number one sijui ingekuaje.
 
Kujua mziki mzuri au mbaya hakuhitaji elimu.
Kwani huyo Diamond na Kiba wamesomea wapi Muziki?
Kwanini una dharau wazo la kuwa hawa wanamuziki wanatakiwa wanunue nyimbo za watu wengine ili waepuke kutoa nyimbo mbaya?
Wimbo wa whitney wa "I look to you" mtunzi ni R kelly.
Neyo keshamtungia Beyonce na Rihana nyimbo na dunia nzima inajua.
Mkisema kwani ni lazima waige kila kitu cha marekani nitashangaa sababu kila msanii wa bongo anataka video zake ziwe na quality ya video za marekani sasa kama wanaiga ubora wa video basi na waige pia mambo mengine kama kukubali kuimba nyimbo zilizotungwa na watu wengine.

Slow down!!Just assume Diamond na Ally Kiba waanze kufata ushauri wa kila mtu humu ndani wakianza na uyo unayelazimisha afuatwe, Na Kipi hapo alichoshauri kimekaa ki muziki??Help them (Diamond na Kiba) wakifate. Labda kama ufahamu hakuna muziki utakaotoa radha ya kila mtu kuukubali hata kama umetimiza vigezo vya muziki, wht I can say radha za sasa za muziki wa hawa watu hazipo kwa uyu mtoa ushauri ndio maana akaongea anachoona kinamiss, BUT mwanzo mwisho hakuna ushauri wa Kimuziki alioutoa wa kuufata (hpo juu Hayo maneno mekundu umeyatoa wapi, mbona sioni mahali nilipomdharau zaidi ya kuhoji)
Mara kumi ungesema Diamond na Kiba wakasome muziki kuboresha kazi zao kuliko kusema wakafate ushauri wa uyo, Usiulize Ally ama Diamond wamejifunza mziki lini, muulize Ally Kiba alipokutana na uyo R.Kelly unayemtaja je alijiona anajua mziki au la?
 
Back
Top Bottom