funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Tanzania kikatiba ni nchi ya kijamaa.
Lipo kosa kubwa lililofanyika kuruhusu Wafanyabiashara,mabepari kuingia kwenye siasa na hivyo kufifisha nguvu ya wakulima na wafanyakazi. Hili ni kosa linalopaswa kurekebishwa.
Kosa hili linafanana na kosa lingine ambalo tunaona madhara yake...yaani kusomesha "ngwini" wengi kuliko watenda kazi hatimaye nchi inaishia kujadilli mambo badala ya kutekeleza mipango.
Nimefurahi kuona Samia Suluhu scholership imejikita kusomesha wanasayansi.
Soma Pia: CAG Mstaafu Assad: Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!