Clayton Chipando ni mfanyabiashara, mkulima, mfanyakazi au mcheza kamari??Tanzania kikatiba ni nchi ya kijamaa.
Lipo kosa kubwa lililofanyika kuruhusu Wafanyabiashara,mabepari kuingia kwenye siasa na hivyo kufifisha nguvu ya wakulima na wafanyakazi.
Hili ni kosa linalopaswa kurekebishwa.
Kosa hili linafanana na kosa lingine ambalo tunaona madhara yake...yaani kusomesha "ngwini" wengi kuliko watenda kazi hatimaye nchi inaishia kujadilli mambo badala ya kutekeleza mipango.
Nimefurahi kuona Samia Suluhu scholership imejikita kusomesha wanasayansi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umejuaje anayo akili kubwa?HAYUPO KWENYE KUNDI LOLOTE LAKINI ANAYO AKILI KUBWA BILA SHAKA!
Kuingia bungeni baada ya kushindwa uchaguzi ni akili kubwa??namna alivyoweza kuingia bungeni na namna anavyoendelea kuwateka watanzania kwa naratives zake bungeni
Wewe ndio unataka kuua mfumo huo na hautaweza ....fuata katiba ...tekeleza katiba tutakuja kuibadilisha baadae sana baada ya kuimpliment yaliyopo kwenye katibaMfumo wa ujamaa umeshakufa haupo huwezi kuendesha uchumi kwa mfumo wa kijamaa ndani ya mfumo unao tawaliwa na ubepari.
All of the aboveClayton Chipando ni mfanyabiashara, mkulima, mfanyakazi au mcheza kamari??
Ujamaa umebaki kwenye nadharia tu lakini haupo.Wewe ndio unataka kuua mfumo huo na hautaweza ....fuata katiba ...tekeleza katiba tutakuja kuibadilisha baadae sana baada ya kuimpliment yaliyopo kwenye katiba