mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Kama ni hivyo basi ni kwa nini bado ameamua kuwa na makamo rais wawili? Kuna haja gani ya kuwa na Rais wa nchi ndogo kama zanzibar kuwa na makamo wawili? na hawa nao wanafanya kazi gani hasa ambazo rais mwenyewe na makamo mmoja hawawezi kuzitekeleza?Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya.
Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake.
Ni imani yangu utaratibu huu una baraka za chama na hata Rais Magufuli atafanya vivyo hivyo.
Maendeleo hayana vyama!