bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
mpumbavu yeye au wewe? Hata mimi ningemchukia baba yangu kama asingenishughulikia.Pumbaavu, we mtoto utakuwa bao la kupewa na Refa wewe, watoto walionyooka ni wale wa mabao kama anayofungwa Djigui Diarra
halafu akisha kuwa mkubwa baba anakuja ati kuomba msamaha. Apotelee mbali huko.Kama mwanamke kakosea ndo adhabu apewe mtoto?
Hakuna haja ya kusamehe ujinga.halafu akisha kuwa mkubwa baba anakuja ati kuomba msamaha. Apotelee mbali huko.
Acha ungeseMamaSamia2025 nisaidie mama.
Ni suala tu la muda kabla ya kuniona live na kuanza rasmi kuishi pamoja kama mke na mume. Be there for me, ok?Kwani alisema atanioa lini?? Katamka for real ananioa .
Sikia Tate Mkuu ni sijawahi kumuona humu nataniana naye tu anamke nawatoto lukuki kwa maisha ya ukweli .
Tunafurahiana tu kzi yake ni uganga
Sababu ya kuondoka na mwanamke mwingine ilikuwa ipi?ndiyo,ukisoma kwa umakini utagundua ktk post yangu niliandika akaondoka na mwanamke. Labda umesoma ukakata baadhi ya maneno yangu.
Na baba yeye Kwa watoto wake afanye nini? Au Ni amri ya upande mmoja tuu???Hauna akili. amri ya nne waheshimu wazazi wako
Sasa kama mwanaume kasanuka kachomekewa baadhi ya watoto ambao siyo wake unazani atakuambia!? Kaa na mama yako ndiyo atakuambia ukweli wote,tena mwambie mama naomba uniambie ukweli bila kuficha kitu!!Responsibility is about to sacrifice everything. Kuacha starehe, confort, kujinyima na kubadili mfumo wa maisha. To be there in any condition kwa ajili ya mtoto wako uliemleta Duniani. Huwezi kunipa cheap excuse eti mama alikuwa kiburi, are you kidding me? Hawa watu siwaelewi kabisa
Sikushauri hata sekunde moja kumchukia mzazi wako. Kuna wakati utafika utagundua kwamba unafanya makosa kuwaza hivi. Kuna changamoto nyingi sana kwa walio kwenye ndoa. Si rahisi kwa watoto kujua kinachowatenganisha wazazi. Wapo wanaoweza kuvumilia na wengine hawawezi na hivyo huamua kutengana. Baadhi ya akina mama huchangia pakubwa watoto kutopata matunzo stahiki kutoka kwa baba kwa sababu ya kejeli, dharau na matusi. Hakuna baba asiempenda mtoto wake hata kama awe katika wakati mgumu. Jitahidi sana kuelewa situations za maisha na ujaribu kuwa karibu na baba yako.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Wote mnafanana na Mama yenu ndiyo maana mnajiona kama watoto wa baba mmoja lakini siyo kweli, muulize mama yako vizuri na atakuambia ukweli, tena unaweza kuta wwe ndiyo chanzo cha Dingi kusepa home!!ndio bila shaka,watoto wote tunafanana na dingi.
Sasa kama mwanaume kasanuka kachomekewa baadhi ya watoto ambao siyo wake unazani atakuambia!? Kaa na mama yako ndiyo atakuambia ukweli wote,tena mwambie mama naomba uniambie ukweli bila kuficha kitu!!
Nilikuwa nawaona Wababa kama baba yako jau sana.Wakuu,