Nakuchukia Baba yangu

Nakuchukia Baba yangu

Pumbaavu, we mtoto utakuwa bao la kupewa na Refa wewe, watoto walionyooka ni wale wa mabao kama anayofungwa Djigui Diarra
mpumbavu yeye au wewe? Hata mimi ningemchukia baba yangu kama asingenishughulikia.

Hapo kijana akishapata kazi ndiyo kibaba kinajitokeza na kujisemesha ati kisaidiwe kina shida fulani.

Walaaniwe hasa mababa wa aina inayotelekeza watoto.
 
Kwani alisema atanioa lini?? Katamka for real ananioa .
Sikia Tate Mkuu ni sijawahi kumuona humu nataniana naye tu anamke nawatoto lukuki kwa maisha ya ukweli .
Tunafurahiana tu kzi yake ni uganga
Ni suala tu la muda kabla ya kuniona live na kuanza rasmi kuishi pamoja kama mke na mume. Be there for me, ok?
 
ndiyo,ukisoma kwa umakini utagundua ktk post yangu niliandika akaondoka na mwanamke. Labda umesoma ukakata baadhi ya maneno yangu.
Sababu ya kuondoka na mwanamke mwingine ilikuwa ipi?
 
Responsibility is about to sacrifice everything. Kuacha starehe, confort, kujinyima na kubadili mfumo wa maisha. To be there in any condition kwa ajili ya mtoto wako uliemleta Duniani. Huwezi kunipa cheap excuse eti mama alikuwa kiburi, are you kidding me? Hawa watu siwaelewi kabisa
Sasa kama mwanaume kasanuka kachomekewa baadhi ya watoto ambao siyo wake unazani atakuambia!? Kaa na mama yako ndiyo atakuambia ukweli wote,tena mwambie mama naomba uniambie ukweli bila kuficha kitu!!
 
Wakuu,

Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.

Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Sikushauri hata sekunde moja kumchukia mzazi wako. Kuna wakati utafika utagundua kwamba unafanya makosa kuwaza hivi. Kuna changamoto nyingi sana kwa walio kwenye ndoa. Si rahisi kwa watoto kujua kinachowatenganisha wazazi. Wapo wanaoweza kuvumilia na wengine hawawezi na hivyo huamua kutengana. Baadhi ya akina mama huchangia pakubwa watoto kutopata matunzo stahiki kutoka kwa baba kwa sababu ya kejeli, dharau na matusi. Hakuna baba asiempenda mtoto wake hata kama awe katika wakati mgumu. Jitahidi sana kuelewa situations za maisha na ujaribu kuwa karibu na baba yako.
 
ndio bila shaka,watoto wote tunafanana na dingi.
Wote mnafanana na Mama yenu ndiyo maana mnajiona kama watoto wa baba mmoja lakini siyo kweli, muulize mama yako vizuri na atakuambia ukweli, tena unaweza kuta wwe ndiyo chanzo cha Dingi kusepa home!!
 
Maisha ni mapambano yasiyo na uwanja rasmi.. Cha kwanza cha kujiepusha ni kumlaumu mtu yoyote duniani kwa unachopitia.. Wapo wamepata taabu sana , au kupitia changamoto nyingi na sasa wako vizuri.. Kitendo cha kuendelea kumshikilia baba yako ni dhahiri bado upo kwenye dunia ya lawama .. Sio pazuri huko toka.. Aanza kuishi maisha ya kuwajibika mwenyewe kama kijana na utaona nuru sana ..... Ukiangalia watu wanaoishi pengine hawana mikono, miguu au viungo , je hawa na wao wamlaumu nani?
 
Muda mwingine ni bora ukose chakula ila baba unamuona, unafarijika kua huenda kesho baba atapata maana ukiwa mtoto unaamini mzazi anaweza kila kitu.
 
Sasa kama mwanaume kasanuka kachomekewa baadhi ya watoto ambao siyo wake unazani atakuambia!? Kaa na mama yako ndiyo atakuambia ukweli wote,tena mwambie mama naomba uniambie ukweli bila kuficha kitu!!

Sawa, lakini baadae mzee akipigwa na maisha msimwambie kijana baba ni baba.
 
Wakuu,

Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.

Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Nilikuwa nawaona Wababa kama baba yako jau sana.
Ila nimeanza kuwaelewa baada ya mimi kuwa Baba pia.
Sasa uki judge angalia na upande wa Mama.
Hakuna Mwanaume anayekimbia familia with no big reason.
Na Hiyo yakukimbia na Wanawake wangine possibly umeisikia kwa Mama yako.
Sometimes ni vyema aliondoka ili nyinyi muweze kuishi.
Angalia mambo nje ya box.
Usije na wewe ukawa baba wa kukimbia familia.
 
kuna uzi humu baba ameondoka akaacha familia na sababu haiko wazi, anaijua mwenyewe

Wanaume wanapitia mengi sana kabla ya kukimbia familia moja kwa moja
Ni vile tu baba yako hakua na mali ndiyo maana anaonekana mbaya zaidi, laiti angalikua na nyumba nzuri, gari na baadhi ya assets zingine, mitazamo yenu watoto ingekua tofauti na story za mama alizowalisha pia zisingekua hizo, chuki ingekua kiasi tu,
Na je, hata nyie hao watoto nane una uhakika gani nyote ni wa huyo baba yako,

simaanishi baba yako hakufanya makosa, la hasha, ninamaamisha kuna siri kubwa sana nyuma ya yeye kuondoka na asirudi mpaka leo, ukitaka kujua hilo ingia kwenye ndoa wala usisikilize simulizi za watu.
pole sana kijana
 
Una uhakika wew na hawo wadogo zko ni wanae, maana unaweza Kuta aliwazumu akaona mnafanana na bwana hamis jirani akaamua abebe virago asepe.
 
Hatuwezi jua kwanini huyo mzee alijitenga na huyo mwanamke
Wakati mwingine wanaume wanakimbia kero na makelele
 
Back
Top Bottom