Na hapa ndipo kwenye point. Watoto wanaolelewa na mzazi mmoja, na hasa wa kike huwa wanamezeshwa sumu kali sana ya kuwaaminisha baba zao walikuwa ni watu wabaya! Na ndiyo maana waliwatelekeza na kwenda kuishi na wanawake wengine!Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
Pole sana mkuu, maisha yetu sisi wanaume yana utata saana.Siwezi kukushauri lililojema zaid ya uwazacho. Lakin kama wewe ni mtoto wa kiume uangalie usije ukafanya mara mbili ya aliyofanya baba yako.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Hata usilete imetosha...Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Huyo mshua yuko sober, nmeshuhudia mikasa kama hiyo kwenye familia za rafik zangu,wala hata hawakuchukua mahar za binti zao badala yake wanatoa baraka tuu ila sio kushiriki kwenye upokeaj pesa.Mtoa nyuzi amesema mzee alirudi na ameozesha watoto wake wa kike wa3 na kuchukua mahari. Kama kungekua na ishu ya kubambikiwa watoto iliyomfanya awatelekeze, je angerudi kwenye haya?
Sure ndo maana niliona Haina haja yakuweka Mambo moyoniMkuu mahusiano yana Mambo mengi we unaweza kumuona Baba yako ana roho mbaya kumbe amerogwa wanawake wabaya sana kwenye Mambo ya ndoa.
Hii story ya wewe kutusimulia habari za wakati una wiki 2 hauwezi kuwa ni zako, umesimuliwa na mama yako baada ya baba yako kumkimbia alipomfumania na mwanaume mwingine. Baba yako akajua wewe siyo mwanae akaona ajiondokee tuu.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Na yeye angekua mbinafsi akaamua kukojolea nje ungezaliwa?Ulitaka ukimchukia ndio atakufa.
Unamsamehe tu ila hapati kitu changu chochote........hii kubembelezana ni kulea ujinga.
Pesa zako unakula na mademu na pombe mimi za jasho langu uje kula bure tu? Huu ujinga mimi nilishaacha.
Sikufanyi kitu, wala sifatilii mambo yako ila changu cha jasho langu utakisikia kwenye redio. Maisha yanaendelea
Hakuna msamaha kwa mzazi mzembe, mjinga na mpumbavu.Msamehe bure
Pumbavu ni huyo Baba anayezalisha kama panya halafu anatelekeza watoto.Pumbaavu, we mtoto utakuwa bao la kupewa na Refa wewe, watoto walionyooka ni wale wa mabao kama anayofungwa Djigui Diarra
Kwa hiyo kupitia masahibu ndio kigezo au tiketi ya kutelekeza familia?Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
Baba au Mama mzembe, mjinga na mpumbavu hastahili heshima ya aina yeyote ile.“Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
”
— Kutoka 20:12 (Biblia Takatifu)
Hakuna baraka kwa baba mzembe, mjinga na mpumbavu.Bora umchukie mtu yeyote na sio baba baba hutoa baraka
Kwani ilikuwa ni lazima kuzaliwa na yeye tu?Na yeye angekua mbinafsi akaamua kukojolea nje ungezaliwa?
Unasema mwanaume kukimbia familia ni ngumu sana, Wakati kuna kundi kubwa la wanaume walevi wametelekeza familia zao?Mwanaume kukimbia familia ni ngumu sana tena bila sababu ya msingi, ni bora angepata muda amsikilize mzee, hawa kina mama wanawalisha sana sumu watoto.
Mkuu unamisimamo mikali. Lakjn uposahihi coz kuna siku rafik yangu flan(me) tena mlokole aliwahi sema, at hivi kazi ya akina baba kwenye familia ni nin hasa?, akatoa sababu kibao ikiwemo wao wanatia mimba then akina mama ndo wanateseka nazo.Hakuna msamaha kwa mzazi mzembe, mjinga na mpumbavu.
Huyo baba hastahili msamaha wa aina yeyote ile.
Mm ni mhanga tena bora ww , story yangu ni ndefu mno lakin nakupa tu kifupi baba alikua askari lakin sisi watoto wote hajatusomesha yaaan yeye ndo alikua kikwazo cha sisi kusoma, mimi kwa uwezo wake mungu nikasoma kati yetu watoto watatu , baba aliwafanyia watu connection wakawa ma askari lakin sisi watoto wake hakuwahi kuthubutu, story ni ndefu mno nakupa tu summary sitaki kusema mali alizokua anamilik, sitaki kusema watoto wa nyumba ndogo ambao sio wake walivyokula mali zetu,Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Baba au Mama anayezaa kisha anatelekeza watoto, Huyo hafai kabisa.Mkuu unamisimamo mikali. Lakjn uposahihi coz kuna siku rafik yangu flan(me) tena mlokole aliwahi sema, at hivi kazi ya akina baba kwenye familia ni nin hasa?, akatoa sababu kibao ikiwemo wao wanatia mimba then akina mama ndo wanateseka nazo.
Alihitimisha kwa kusema haoni faida ya baba badala yake mama ndo kilakitu. Sina nilichomjibu, niliitikia tuu nikweli, coz mimi nimelelewa na Baba kwahyo niliona ntaanzisha ligi.
Pamoja na wanawake kuwa chanzo sa zingine, hawakusema kwenye vikao vyenu mtelekeze watoto, kwanini watoto wawe victims zaidi kwenye ugomvi wa baba na mama?Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi