iko hivi,mama na baba wamefunga ndoa mwaka 1987, na mpaka mama anaacha kuzaa ni jumla ya watoto nane na mimi nikiwemo, yani katika wote hao 8 hakuna hata mmoja aliyezaliwa na baba tofauti, na mzee alipokimbia, akakaa takribani 5yrs akarudi,aliporudi ndo wakamzaa mdogo wangu kitindamimba na mwaka 2018 akachukua mwanamke mwngn akatoroka nae tena mpaka wa leo,ila mawasiliano yapo kati yake na familia yetu na mama akiwemo,ila ktk isue ya kuhudumia familia hatoi hata mia,kuna mdogo wangu alitenguka bega,tukamwambia hakusogea wala kuja kumuona na tumemtibu sisi wenyewe zaid ya 1milioni imetumika,ila akipiga simu ni mpe simu mwanangu flani,yuko wapi flani. Hivyo yani