Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Sasa sisi tuna comment kwa yale umeandika maana hatujui nin hujaandika badokuna mengi ya kuzungumza,msimlimbikizie mama kuwa mwenye tatizo,ndio mana nikawaambia kuwa siku nyingine nitawaletea kisa na mkasa wa baba uliomsababisha aondoke, na nitabia yake tangu mwanzo,nimewauliza watu wazima ambao wameona ukuaji wa mzee akiwemo bibi mzaa mzee wangu. So usikimbilie kutoa hitimisho ili hali mada haikuisha mkuu