Nakuchukia Baba yangu

Huyo mtoto mwenye alikua week mbili ndio chanzo babako kukimbia, muulize mamaako vizuri huyo ni mtoto wa babaako kweli au?
Haiwezekani babaako akimbie baada tu ya mtoto kuzaliwa.
Si angekimbia Mimba basi,
Jifikirie
usikimbilie kujibu,soma komenti na reply za wananzengo waliotangulia kwanza
 
Huyo mtoto mwenye alikua week mbili ndio chanzo babako kukimbia, muulize mamaako vizuri huyo ni mtoto wa babaako kweli au?
Haiwezekani babaako akimbie baada tu ya mtoto kuzaliwa.
Si angekimbia Mimba basi,
Jifikirie
na ulipofika muda wa kupewa jina mbona ilimuita jina la mama yake? Kama si mtoto wake na kaondoka kwa ajiri ya hilo why amuite jina la mamayake ? babukijana
 
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu
Ili tufanyeje, kila family inachangamoto walizopitia, ila watu tupo kimya maisha yanaendelea, siwezi mchukia baba yangu.
 
Ili tufanyeje, kila family inachangamoto walizopitia, ila watu tupo kimya maisha yanaendelea, siwezi mchukia baba yangu.
nimeuleta mkasa huu si kwa lengo la kumfanya kila atakayeuona uzi wangu ajibu, ungekaa kimya ungepata hasara gani? Au ni wale kila uzi unauchukulia negative tu? Ulijiunga kwa ajiri ya kueneza chuki zako jf? Badilika toa ushauri wa bure mkuu!
 
Kama Baba yako alikuwa hajamuoa Mama yako, alichokifanya ni sawa tu sababu watoto wa nje ya ndoa hawatakiwi kulalamika,

unachotakiwa kufanya ni kushukuru tu harakati za huyo mzee ukazaliwa basi, mengine yote keep constant
 
nimeuleta mkasa huu si kwa lengo la kumfanya kila atakayeuona uzi wangu ajibu, ungekaa kimya ungepata hasara gani? Au ni wale kila uzi unauchukulia negative tu? Ulijiunga kwa ajiri ya kueneza chuki zako jf? Badilika toa ushauri wa bure mkuu!
Mimi naenezaje chuki hapo! Wewe unaemchukia baba yako, halafu kumchukia baba yako sisi inatuhusu vipi?
 
Kama Baba yako alikuwa hajamuoa Mama yako, alichokifanya ni sawa tu sababu watoto wa nje ya ndoa hawatakiwi kulalamika,

unachotakiwa kufanya ni kushukuru tu harakati za huyo mzee ukazaliwa basi, mengine yote keep constant
iko hivi,mama na baba wamefunga ndoa mwaka 1987, na mpaka mama anaacha kuzaa ni jumla ya watoto nane na mimi nikiwemo, yani katika wote hao 8 hakuna hata mmoja aliyezaliwa na baba tofauti, na mzee alipokimbia, akakaa takribani 5yrs akarudi,aliporudi ndo wakamzaa mdogo wangu kitindamimba na mwaka 2018 akachukua mwanamke mwngn akatoroka nae tena mpaka wa leo,ila mawasiliano yapo kati yake na familia yetu na mama akiwemo,ila ktk isue ya kuhudumia familia hatoi hata mia,kuna mdogo wangu alitenguka bega,tukamwambia hakusogea wala kuja kumuona na tumemtibu sisi wenyewe zaid ya 1milioni imetumika,ila akipiga simu ni mpe simu mwanangu flani,yuko wapi flani. Hivyo yani
 
Mimi naenezaje chuki hapo! Wewe unaemchukia baba yako, halafu kumchukia baba yako sisi inatuhusu vipi?
mkuu unajua maana ya jukwaa huru? Kila mtu anatoa ya moyoni ili mradi haivunji sera na sheria za jukwaa. Kama haikuhusu si usijibu! Au leta mada yako ambayo inamhusu kila mmoja na aje kujibu hapa. Badilika mzee. Mtu mzima hovyo.
 
Shukuru Mungu baba yako alikimbia akawacha mkiwa wadogo lakini mngali hai,
Angeweza hata kuwaua wote na mama yenu akatoweka kusikojulikana.

Hawa wanawake usiwangalie Kwa jicho la kawaida ni watu wa ajabu sana.,tena wana vitimbi vizito sana.

Mimi baba yngu alioa wanawake zaidi ya sita,
Kwakweli nilimwona baba wa ajabu sana,,kuoa na kuacha Kila kukicha.

Ila na Mimi nilikuja kuoa mke nilpoviona vituko vya hawa wanawake,

Nikasema baba hakukosea kuoa na kuacha ,alifanya vyema sana ,,kuliko kudhuru mwanamke..
Uelewe Kila mwanaume ana uwezo wake wa kuvumilia maumivu na vituko vya mwanamke.
 
Hongera.
Sasa nataka kujua hayo mateso ambayo mamako na nanyie mlipata ili nidadavue hili andiko lako!
mkuu, mama aliyetoka kujifungua siku kumi na nne kuanza kufanya kazi sio mateso?
Watoto wadogo miaka 9 na dada yangu miaka 12 kufanya vibarua kwa ajiri ya chakula na mahtaji ya shule hayo si mateso TODAYS
 
Duuh, kama mzee alikuwa amefunga ndoa halali na akatelekeza familia hapo alizingua,
ila bado wewe hauko kweye position ya kulalamika, anaetakiwa kulalamika ni mama kuhusu ndoa yake.

watoto hawaruhusiwi kuingilia ndoa ya wazazi.
 
Sasa unamchukia una uhakika huyo ni baba yako? Au unadhan kwasababu mama yako kakuambia hvyo basi ni kweli? Unamchukia mtu ambaye hakujui humjui una akili kweli..?
Unamchukia mtu ambaye hana muda nawe ana maisha yake nawe una yako...? Halafu unaanzaje kumchukia mwanaume mwenzako..? Unamchukia baba yako wakat nawe bado hujamaliza kizazi chako hujui nini kitatokea...
Nyie vijana wa kiume wa sikuhizi tumieni akili, misidhani kilakitu anachokueleza baba/mama yako kuhusu mabaya ya mwezake ni kweli... Ugomvi na migogoro yao isiwe sehemu yako usijihusishe nayo... Anachokifanya baba/mama yako inawezekana kabisa hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo tena vibaya zaidi...
Hii dunia huna namna na sababu yoyote ile ya kumchukia mzazi wako as long as alipiga bao ukapatikana basi mshukuru na kumuombea heri...

Maisha ndio haya haya, mtu hajakubana pua ukashindwa kupumua unaanzaje kumchukia? Ishi maisha yako the rest muachie Mungu
 
Muheshimu huyu mzee, sikio halizidi kichwa, haya ulitegemea yeye akufikishe hapo form four kwa nguvu za marehemu baba yake?
Pambana kijana, wenzako hatuna wazazi, tuliachiwa na wadogo zetu, na wote wana maisha mazuri sasa. Usipende kulalamika.
 
🤝
 
Mkuu unachopaswa kuelewa ni kwamba baba hanuniwi na ukue kiwa father is always right. Mpende na kumtunza baba yako upate kuishi marefu na yenye furaha hapa duniani.
 
Nakuelewa sana. We jamaa ulijipa muda wa kitafakari kwann Mungu kakupitisha huko. Kila jambo baya linawema wake.
 
Wanaume tuache kujitetetea. Umezinguana na mama yao, je ungeenda shule ukawalipia karo, ukaeanunulia nguo wasingeona? Hata ukerwe vipi na mama yao kuwatelekeza watoto sio suluhisho Wala sio excuse. After all watoto wanakuona hata hawahitaji kuambiwa. Kuna vitu tunafanya kwa neema ya Ukristo. Sio kwa sababu hatukuona.
Tuliona wala hatukuambiwa tulilala njaa akiwa anapeleka kwa mchepuko, alimpiga nusu amuue kisa kufuata mchepuko uliojileta nyumbani na kutaka kuuchoma kisu. Tunafanya kwa vile Kristo aliansisha mfano. Tunasamehe kwa vile ndio kipomo Cha kusamehewa mbinguni ila sio excuse!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…