Nakuchukia Baba yangu

Nakuchukia Baba yangu

Ulikuwa na wiki mbili ulijuaje kama kakimbia na mwanamke mwengine? Wazee miyeyisho wapo, ila nimejifunza kuwa makini sana tunapowatuhumu wazee wetu, wengi wamebeba siri nzito sana ambayo wakikuambia utajikana na utaishi maisha ya upweke sana.
 
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo

Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Mkuu mpaka sasa si Mama yako anaishi kwenye mji wa Baba yenu ulipo lelewa?
 
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo

Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Umesha olewa? Kijana wangu?
 
Mimi nawapenda sana wanangu, ila kwa kitu mke wangu alinifanyia mwaka 2013 nikiwa na watoto wawili, ningeweza mtelekeza kama Baba yako alivyofanya ( Kama nisingekuwa na Imani katika Mungu)

Hawa Mama zenu sio malaika, wakati mwingine waache tu wateseke!

Mama yako anakupotezea mda tu, mfariji, ila tafuta Baba yako, atakusaidia sana na kukupa experience ya kiume ngumu aliyopitia kwa Mama yako, hawa wanawake waangalieni hivi hivi, shida sana!
 
Mimi dingi yangu aliwahi ninyima chakula siku kadhaa na wanakula hapo na mke wake (mama wa kambo). Wanakucheka!!

Niliwahi kuumwa kwa kuzidiwa kabisa nimelala karibu na uwani kwasababu nilikuwa natapika saaana (wakati mzee anatoka bafuni na mkewe ikabidi nimwombe angalau ela niende hosp kucheki maana hali ni mbaya) " kauli aliyoniambia ni kwamba we unayo?'" yaani hio ela nnayo omba mi nnayo?? Ikabidi niseme Sina.. nayeye akajibu Hana pia!!

Niliwahi fukuzwa home, sio mara moja!

All in all mzee wangu (dingi) namkubali sana pamoja na yote..

Nilishaapa sana kwamba haitakuja kutokea nimkubali!! Lakn ndo hivyo akiwa na shida akikucheki tu! Mtu upo tayri uazime ela sehem umtumie (I don't know hii Hali inakuwaje kuwaje)
 
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo

Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!

Kiongozi pole sana kwa changamoto ulizopitia
Hata hivyo, jitahili sana kuyakubali uliyo yapitia wewe na mama yako; jua tu dhahabu iliyopitia kwenye moto ndio huuzwa bei juu....namaanisha changamoto humnoa mtu na pengine akawa bora na kufanikiwa zaidi.
Hata hivyo sio jambo jema kupost kuwa unamchukia Mzazi hata kama amekukosea, japo naelewa umeandika hapa ili kutoa machungu yaliyoko moyoni kwako.

Jipe nafasi ya kutafakari zaidi na kama unaona huwezi, jiweke mbali naye kwa muda huku ukitafakari naamini ukifikisha miaka 30hivi utajua usiyokuwa unayajua na pia kupata uwezo mkubwa zaidi wa kuchambua changamoto za maisha na pengine ukampa baba yako nafasi nyingine katika moyo wako
Nawapenda sana Mama zetu ila baadhi hujisahau na kupandikiza chuki kwa watoto (bila ufafanuzi) na ndio sababu nakuomba ujipe muda hadi uweze kuchambua mambo kwa undani zaidi....
 
kwanza pole kwa uliyo pitia naelewa machungu na hasira zako, ndo maana Ume andika hapa ili upate faraja au support ya hasira kwa mzee wako.

Ila tambua ndoa ni taasisi ya watu wawili yaani mume na mke, na kwakuwa mimi na wewe sio wao basi hatu elewi Sababu kuu iliyo fanya mzee aondoke!.

Piga moyo konde, Kama mtoto wa kiume endelea kupambana kwa ajili y familia yenu na maisha yako, usi pambane kujenga chuki dhidi yake.

maana Raha ya chuki, unaye mchukia ajue na ajali kuhusu hilo , vipi Kama hajui na haoni hilo si ni maumivu kwako daima!.

Learn and move on little soldier.
 
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo

Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Pole sana. Klimchomfanya baba yako aondoke ni nini? Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa kero mpaka mumewe akaona ni bora akimbie na kutokomea mbali. Japokuwa mara nyingi wanaume ndiyo huwa wakorofi, lakini usi-rule out kuwa kuna wanawake wanashindana na shetani kwa ukorofi. Na ukikutana na mwanamke mkorofi ni hatari sana kwa afya ya maisha yako. Hili kama hujaona au kuoa huwezi kukubali lakini lipo.
 
Hahahahaha eti wanawake wanashindana na shetani
 
Ulikuwa na wiki mbili ulijuaje kama kakimbia na mwanamke mwengine? Wazee miyeyisho wapo, ila nimejifunza kuwa makini sana tunapowatuhumu wazee wetu, wengi wamebeba siri nzito sana ambayo wakikuambia utajikana na utaishi maisha ya upweke sana.
Kapandikizwa chuki huyo anataki afanye utafiti kwasababu huyo Baba ana kwao na ana ndugu jamii na marafiki, kwa kitamaduni za Kiafrika Kama kweli huyo Mama yake ameolewa kwa ndoa ya kidini, Kiserikali au Kimila lazima Familia zinakua zina wasiliana kupitia Baba wadogo na wakubwa na Mashangzi na Babu na Bibi, Kama kweli huyo mzee wako kakimbia kusikojulikana tena na Mwanamke mwingine lazima watoto mgejua Baba yenu yupo sehemu furani na kao mke wa pili.
 
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo

Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Kwa ufahamu wangu mdogo Mlaumu sn bimkubwa kwakuamua Kukulea alone,wanaume wachache sn wanakataa kilea kinachotokea ni kua mzee ameepusha mtafaruku kwenye familia na kukaa pembeni,km huamini fanya uchunguzi wako mwenyewe,isihusishe wanafamilia bali watu wa pembeni kabisa ulizia story za mzee na bimkubwa wako.
Usihukumu Kwa upande mmoja
 
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo

Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Na wewe utakuwa Baba one day ukiendelea kuwa na Chuki nae kias icho na ww Wanao watakuchukia hata kama utawalea vizuri.
Ondoa Chuki moyoni ili usipate Laana
 
Back
Top Bottom