Nakuchukia Baba yangu

Nakuchukia Baba yangu

kukimbia family sio tatizo shida ni kutoihudumia family yako. Sijui unanielewa mkuu?
Mzee wako yawezekana alikuwa anahitaji kuwahudumia ila mama yako alikuwa anamuwekea kizingiti yawezekana cha kumuua au kumumwagia maji ya moto. Kadharika mzee wako yawezekana alikuwa anawahudumia ila mama yako anawadanganya kuwa baba yenu hawahudumii kwa chochote. Hayo yapo mengi tu mtaani tunayaona. Bahati nzuri wewe ni mtoto wa kiume ukikua utayaona
 
nipo hivi nilivyo kwa sababu ya baba yangu! Labda baba yangu angeamua kutulea ktk njia anayotakiwa kumlea mwanae nisingekuwa kapuku,maskini,mbangaizaji na hohehahe kama nilivyo sasa. Kidato cha nne nilifaulu na kuchaguliwa kujiunga na elimu ya kidato cha tano na sita,ila sikwenda kwa sababu ya ukata, wenzangu niliosoma nao wapo mwaka wa tatu vyuo vikuu,mimi sjui future yangu,ila ushauri wa wadau nimeufanyia kazi,na kesho naenda kukutana na baba yangu. Kwani nimepigiwa simu sasa kuwa umetokea msiba wa babu yangu mkubwa upande wa baba kuwa amefariki na mzee kanihimiza niende,hivyo naenda kukutana nae na ikiwezekana nirudi nae nyumbani kwa mama, pombe ndio chanzo kikubwa cha baba kufanya hayo yote. Ahsanteni wote mliotoa ushauri wenu mkiongozwa na Mshana Jr
Wewe kijana fuata baraka kwa baba yako utafanikiwa. Sisi sote tumezaliwa na hawa mama zetu tunajua mazuri yao lakini pia tunajua mapungufu yao. Wana sumu kali ya kuharibu watoto, ukiwa mtoto wa kiume utakuja kugundua pale utakapo oa, utafanyiwa vituko na mke wako ndo akili zitakurudi kwamba kumbe baba yangu mengine alikuwa anasingiziwa tu na mama yangu
 
Wacha nikusanue kitu kimoja uki mind poa tuu.

Usimchukie baba yako sababu alimuamini mama yako ndipo ukapatikana wewe. Chanzo cha baba yako ni wewe maana Mungu alishampa kibali.
Baba yako alikua na uwezo wa kumwaga nje na usingepatikana pimbi wewe.

Hujui nini Mama yako alimfanya baba yako akaamua kuondoka usiwe kondoo maji kuamini unachoambiwa mjinga wa mwisho wewe,wanawake wengine ni wabaya sana(Zingatia wengine sio wote)

Wewe ni shabiki mzuri na unaitetea sana Yanga hata kama ikifanya vibaya unaitetea unashindwa kuona mazuri ya baba yako.Unaaibisha bland kijana.
 
Mkuu samehe and move on, wakati wewe unamchukua mpaka kumtolea tangazo humu ukute yeye hana hata habaree na usiku analala mpaka anakoroma.
 
Una uhakika gani huyo unaemchukia kama ndo Baba yako? Je kama kuna kitu aligundua ndo akaamua afanye hivyo
 
Wacha nikusanue kitu kimoja uki mind poa tuu.

Usimchukie baba yako sababu alimuamini mama yako ndipo ukapatikana wewe. Chanzo cha baba yako ni wewe maana Mungu alishampa kibali.
Baba yako alikua na uwezo wa kumwaga nje na usingepatikana pimbi wewe.

Hujui nini Mama yako alimfanya baba yako akaamua kuondoka usiwe kondoo maji kuamini unachoambiwa mjinga wa mwisho wewe,wanawake wengine ni wabaya sana(Zingatia wengine sio wote)

Wewe ni shabiki mzuri na unaitetea sana Yanga hata kama ikifanya vibaya unaitetea unashindwa kuona mazuri ya baba yako.Unaaibisha bland kijana.

Bro unamtukana kijana bure. Mimi binafsi hakuna excuse yoyote itakayonifanya nitelekeze wanangu. Mkikimbia majukumu mnasingizia wanawake. Yaani mwanamke akuchukulie watoto! We kweli mwanaume wewe?
 
umejuaje kuwa mimi ni shabiki wa Yanga? usiniambie kuwa wewe ni nabii.
 
Bro unamtukana kijana bure. Mimi binafsi hakuna excuse yoyote itakayonifanya nitelekeze wanangu. Mkikimbia majukumu mnasingizia wanawake. Yaani mwanamke akuchukulie watoto! We kweli mwanaume wewe?
Sibariki Baba kutelekeza mwanae najaribu kuangalia why baba amtelekeze mwanae na mtoto amchukie babà kiasi hiki.
Tusiende kinyume na kanuni za maisha babà ni babà tuu.
 
Wakuu,

Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.

Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.

Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.

Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
😥😥😥😥😥😥
 
umejuaje kuwa mimi ni shabiki wa Yanga? usiniambie kuwa wewe ni nabii.

Mimi sio nabii ila nimeshuhudia maandiko kadhaa ukiisifia yanga na kuwa na matumaini nayo hata pale inapofanya vibaya,be a man.
So long as baba yako yupo hai kuna siku utajua ukweli ndugu,Usichukie asili yako.
 
Pengine mchepuko alimroga.
Pengine bi mkubwa na shida.

Usiweke vitu moyoni, tafuta source. Tafuta suluhu. Samehe maisha yaendelee.

Kila tukio lina sababu zake.
Pengine kesho yako bora inaandalia na changamoto zilizopita.

Ukikua ndo utaelewa kwanini wanawake wana roho mbaya na ndio chanzo cha mvurugano wa familia.
 
Wewe na IQ yako ya kisoda sijui kama umemuelewa huyu mwamba.
Hakuna justification za kumchukia baba yako wewe.
Bora kukaa neutral.Unatamka kabisa unachukia baba yako ,unaandika kabisa unaichukia asili yako.

Nani amemchukia baba yake dunia hiii akatoboa?
 
Pengine mchepuko alimroga.
Pengine bi mkubwa na shida.

Usiweke vitu moyoni, tafuta source. Tafuta suluhu. Samehe maisha yaendelee.

Kila tukio lina sababu zake.
Pengine kesho yako bora inaandalia na changamoto zilizopita.

Ukikua ndo utaelewa kwanini wanawake wana roho mbaya na ndio chanzo cha mvurugano wa familia.
Kuna Mwamba nimemwambia haya maneno akasema haiwezekani babà akimbie mwanamke Mwenye hila akaacha mtoto,nikamwambia bro Baba yako sio Mjinga hivyo.
 
Back
Top Bottom