Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu napapenda sana Zambia, nakuja February, kama kuna uwezekano tukutane.
😂😂mbona hukauki online mkuu?unasafiri kweli ww😂😂Una maanisha manengelo yuko Zambia?
Kwa sasa sijajua mkuu, ila ni maeneo ya Nguruka/Nguluka nadhani, Sina uhakika sana, maana mala ya mwisho nilisikia wakisema kuwa tunaikaribia hiyo Nguruka, Ila umepita muda kidogo, na watu baadhi wamelala, kwahiyo kuna ukimya fulani.
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Mwambie uyo Mkuu,Alafu mnakimbiliaga dar tu..mie dar kwasasa huez nihamasisha kuhamia huko ht kidg..mikoanj mbona deals zipo?...yaan mie nimelirelax sana kuondoka dar
Unaposema vyakula bei chee, Hiyo unayosema "Chee" unayo? Kigoma vyakula vipo, ila hela utaipataje? Maana umeshasema ni bei "chee" Kwahiyo hata mtu ukilima, lazima uuze bei chee, Bei bure.Mwambie uyo Mkuu,
Me sikioni cha maana Dar, Nimezaliwa, Nimelelewa na Kusoma Dar lakini sioni kama ni mji unafaa kwa mtu anayejitambua eti kuukimbilia kutafuta maisha?
Dar ni watu wa hovyo kweli kuchafu sana ustaarabu hakuna...Mara mia niishi mkoani kwenye uhakika wa chakula bei chee mashamba kibao hewa safi maji matamu ya asili hakunaga kipindupindu mikoani.
Kama ni fursa umeziacha kigoma Mkuu,Inategemea una jicho la namna gani kuziona fursa hakika nakwambia ni afadhali ungetoka kigoma ukaenda singida au kyela mbeya utatoboa ila Dar hapana utaishia kuuza pipi barabarani.
Anyway Fungu lako lipo kwa Muumba huenda ukalipatia huko Dar. Kila la kheri Mkuu Muhimu umeweza kuthubutu.
Ni hatua Muhimu Maishani.
Mwambie uyo Mkuu,

inategemea, wengine wako vizuri na wengine wanapambania uhai tu.ni kweli kbs mkuu marafiki zangu 80% wote wapo dar..ila hakuna ht m1 alofanikiwa kujenga..dar kugumu jaman...maisha yako juu mnoo..hapana aisee mie naendaga kujiachia tu kule aisee ila sio niishi huko tena!never!
inategemea, wengine wako vizuri na wengine wanapambania uhai tu.
mwacheni akajaribu bahati yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangazi kaja ipoje mkuu?Umepaki nguo zako kwenye shangazi kaja?
Yalishapigwa marufuku huku dar
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi na wewe tena!jus chit chat hii hatumkatazi kwenda dar...aende salama
Bei ya Sado la Nyanya Kwa Kigoma ni tofauti sana na bei ya Sado la Nyanya Dar...Kigoma kuna mashamba atleast Wakati Dar kuna moshi wa magari unaochafua hewa kila siku.Unaposema vyakula bei chee, Hiyo unayosema "Chee" unayo? Kigoma vyakula vipo, ila hela utaipataje? Maana umeshasema ni bei "chee" Kwahiyo hata mtu ukilima, lazima uuze bei chee, Bei bure.
Kwahiyo mkuu, ngoja nije tubanane huko huko Dar.
Unasema yote hayo, ila bado uko Dar. Vipi sasa, huko kigoma kwenye vyakula tele, ulishaenda japo kwa ndoto?Bei ya Sado la Nyanya Kwa Kigoma ni tofauti sana na bei ya Sado la Nyanya Dar...Kigoma kuna mashamba atleast Wakati Dar kuna moshi wa magari unaochafua hewa kila siku.
Wee jamaa wewe sasa huko Dar bila hela unadhani maisha yatakuwa mazuri? Kama umeshindwa kutafuta fursa ukiwa kigoma utaweza Dar? Kwenye msongamano wa watu?Unasema yote hayo, ila bado uko Dar. Vipi sasa, huko kigoma kwenye vyakula tele, ulishaenda japo kwa ndoto?
Kwakweli ukiwa na hela, kigoma ni pazuri, ila kama ni kapuku kama mimi, lazima cha moto ukipate.